Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtoto aliyetekwa Geita akutwa amekufa

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Geita, Joseph KonyoMTOTO Yohana Bahati mwenye ulemavu wa ngozi (albino), aliyetekwa katika Kijiji cha Ilelema wilayani Chato katika Mkoa wa Geita, mwili wake umekutwa ukiwa umefukiwa huku umenyofolewa miguu na mikono.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Miss Honduras 2014 aliyetekwa nyara, akutwa amekufa

 Polisi wa Honduras wamesema wamepata miili inayodhaniwa kuwa ya mrembo wa nchi hiyo aliyepotea siku sita zilizopita pamoja na dada yake.

 

11 years ago

Habarileo

Mtangazaji akutwa amekufa

WAKAZI wawili wa jijini Dar es Salaam wamekutwa wamekufa katika vyumba vyao akiwemo mtangazaji wa kituo cha Televisheni cha East Africa(EATV), Kennedy Kidago (37).

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwanamke akutwa amekufa gesti

WATU watatu wamefariki dunia jijini Dar es Salaam juzi katika matukio matatu tofauti, akiwemo mwanamke asiyefahamika jina anayekadiriwa kuwa na miaka 25-30 aliyekutwa amefariki katika nyumba ya kulala wageni huku...

 

11 years ago

Habarileo

Akutwa amekufa chumbani kwake

MFANYABIASHARA Mkazi wa Kigogo, Kinondoni, Idd Abdalah (31) amekutwa amekufa chumbani kwake huku mwili wake ukiwa hauna jeraha lolote.

 

10 years ago

Michuzi

DEREVA TEXI ALIYEPOTEA AKUTWA AMEKUFA

Na John Gagarini, Kibaha
BAADA ya dereva wa Texi Richard Ponera (36) mkazi wa Mwendapole wilayani Kibaha mkoani Pwani kupotea kwa siku nane amepatikana akiwa ameuwawa na kuporwa gari alilokuwa akiliendesha.
Marehemu ambaye alikuwa akifanyia shughuli zake kwenye kituo kikuu cha Mabasi cha Maili Moja wilayani humo alipotea Agosti 6 Mwaka huu majira ya saa 1 usiku alipokodishwa na watu wawili wasio fahamika waliojifanya kuwa ni wateja.
Akizungumza na mwandishi wa habari hizi kwa njia ya simu...

 

11 years ago

Habarileo

Akutwa amekufa choo cha kulipia

MFANYABIASHARA wa mboga mkazi wa Magomeni, Dar es Salaam, Jamhuri Ally (53) amekutwa amekufa ndani ya choo cha kulipia eneo la Kisutu, katikati ya Jiji la Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

Mchungaji TAG akutwa amekufa shambani

Watu watatu akiwamo Mchungaji wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) na watoto wa miaka sita wamefariki dunia katika matukio tofauti yaliyotokea mkoani hapa siku mbili zilizopita.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Daktari Nyamagana akutwa amekufa gesti

WATU wanne wameripotiwa kufariki dunia katika matukio tofauti akiwemo daktari wa Hospitali ya Nyamagana, Raymond Simon (36), mkazi wa Nyamagana, Mwanza aliyekutwa amekufa katika nyumba ya kulala wageni iitwayo Nesta...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ofisa Tigo Arusha akutwa amekufa chumbani

MFANYAKAZI wa Kampuni ya simu ya Tigo, (MIC T Ltd.),  jijini hapa, Mwita Makore, amekutwa amekufa nyumbani kwake maeneo ya Kimandolu huku akiwa na kamba za viatu shingoni kuashiria kwamba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani