mtu mmoja anusurika katika ajali ya gari eneo la Kibele, Zanzibar, leo
![](http://4.bp.blogspot.com/-mIlVPZOKt5w/VjYLCweuwSI/AAAAAAAID2A/qUnFjZjPcgU/s72-c/unnamed%2B%252821%2529.jpg)
Mtu mmoja amenusurika kifo kufuatia ajali ya gari alilokuwa anaendesha mchana huu kwenye milango ya saa 8.10. katika kijiji cha Kibele, Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kwa kile kilichoelezwa kuwa ni mwendo kasi wa dereva huyo ambaye alishindwa kuidhibiti gari ndogo aina ya Toyota Spacio yenye namba za usajili Z 511 FG na gari kuacha barabara na kugonga mnazi ambao uliangukia gari na baadae gari kuwaka moto. Dereva huyo, ambaye jina halikuweza kupatikana mara moja, alitolewa ndani ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog01 Nov
Mwanajeshi wa JWTZ Zanzibar anusurika kifo katika ajali ya gari kijiji cha Kibele, Zanzibar
Gari hilo kama linavyoonekana baada ya ajali hiyo
Na Mwandishi Wetu.
[Unguja-ZANZIBAR] Mwanajeshi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (TPDF) imeelezwa kuwa amenusurika katika ajali ya gari iliyotokea mchana wa leo Novemba Mosi, eneo la kijiji cha Kibele, Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kwa kile kilichoelezwa kuwa ni mwendo kasi wa gari hiyo.
Kwa mujibu wa shuhuda wa taarifa ya tukio hilo: “ Ajali imetokea mchana huu kwenye saa 8.10 ambayo imemhusisha askari wa Jeshi la Ulinzi...
10 years ago
StarTV29 Dec
Mtu mmoja afariki, wengine 21 wajeruhiwa katika ajali Singida
Na Emmanuel Michael, Singida.
MTU mmoja amefariki dunia na wengine 21 kujeruhiwa baada ya basi dogo aina ya Kosta walilokuwa wakisafiria kutoka Shinyanga kwenye harusi kurejea nyumbani Morogogo kupinduka mkoani Singida.
Ni wakati wa mwingine ambapo mkoa wa Singida umejawa na simanzi na huzuni baada ya kushuhudia mtu mmoja aliyepoteza maisha na wengi 21 wakilazwa kwa matibabu kutokana na ajali ya barabarani.
Mkuu wa Wilaya ya Singida Queen Mlozi ni miongoni mwa viongozi wa kwanza...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vD-hYj2mu0RuBBafIJDkkE9J9sEYeuLIimTmXZUx8Mchxhre3rzcnpPSLdjZydRRaQwkgkA-A2wUGKkflEkAcaq4O8deqLi1/IMG20140901WA00081.jpg)
AJALI YA GARI ENEO LA TAZARA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t08dki1KeXw2yC3sq0IIR00Ad6ZnkHlC8PYv5WLR*gP2FpZbyQ09GfZG3PBDgZrEZjIQDzcCFjjicRy45ERx3cSNg0w6-GUT/kamandadiwanathuman.jpg)
MTU MMOJA AFARIKI DUNIA BAADA YA KUGONGWA NA GARI WILAYANI MBARALI
11 years ago
Michuzi16 Jul
MTU MMOJA AFARIKI DUNIA KWA KUGONGWA NA GARI WILAYANI MOMBA.
TUKIO HILO LIMETOKEA MNAMO TAREHE 15.07.2014MAJIRA YA SAA 22:00 USIKU HUKO KATIKA MTAA WA MWAKA, KATA NA TARAFA YA TUNDUMA, WILAYA YA MOMBA, MKOA WA MBEYA. CHANZO CHA AJALI BADO KINACHUNGUZWA. MWILI WA MAREHEMU UMEHIFADHIWA KITUO CHA...
11 years ago
MichuziASKARI POLISI WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA GARI WAAGWA LEO MKOANI DODOMA TAYALI KWA MAZISHI
Akiongea kwa masikitiko Kamishna Msaidi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME amewashukuru watu waliojitokeza kuungana pamoja kuaga miili ya Askari hao.
Pia amewataka madereva wote kuwa waangalifu wanapokuwa wanaendesha vyombo vya moto na kuzingatia sheria za usalama barabarani ili kuepuka ajali zinazoweza kujitokeza za namna hii.
11 years ago
Michuzi23 Jun
NEWS ALERT:AJALI YAUA MTU MMOJA IRINGA
Taarifa za awali zinaonesha kwamba dereva wa gari hilo jina lake bado halijapatikana ...
9 years ago
StarTV21 Dec
Ajali ya basi igunga Mtu mmoja afariki, 38 wajeruhiwa
Mtu mmoja amefariki dunia na wengine 38 kujeruhiwa baada ya Basi la Allys Coach lenye namba za usajili T 560 AKM lililokuwa likitokea Igunga kuelekea Mwanza kuyumba na kuanguka katika kijiji cha Igogo kata ya Nanga wilayani Igunga Mkoani Tabora.
Ajali hiyo imetokea majira ya saa 12 na nusu asubuhi na chanzo chake kikidaiwa kuwa ni mwendo kasi wa dereva kutaka kulipita gari la mizigo.
Ajali hizi zimekuwa zikigharimu maisha ya watu na wengine kuwaachia ulemavu wa kudumu,sababu zikielezwa ni...
10 years ago
MichuziNEWS ALERT: WATU KUMI WAFARIKI DUNIA NA WENGINE SABA KUJERUHIWA KATIKA AJALI YA GARI JIJINI MBEYA LEO
Ajali hiyo ilitokea jana majira ya saa nne asubuhi ikihusisha gari ndogo ya abiria maarufu daladala lenye namba za usajili T 237 BFB aina Toyota Hiace na gari kubwa aina ya Fuso lenye namba za usajili T 158 CSV.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo wamesema ajali hiyo ilitokea maeneo ya Mbalizi baada ya Hiace iliyokuwa ikitokea Mbeya mjini kuelekea...