MUATHIRIKA WA CORONA AWAITA MAPACHA WAKE 'CORONA' NA 'VIRUS'
Na Leandra Gabriel, Michuzi TV
ANNAMARIA Jose Raphael Gonzales (34) raia wa Mexico ambaye pia alikumbwa na virusi vya Corona (Covid -19) amejifungua mapacha na kuwaita Corona na Virus mtandao wa World News, Daily report umeripoti.
Imeelezwa kuwa Annamaria alikuwa akipatiwa matibabu katika hospitali ya La Villa mjini Mexico na kujifungua mapacha hao wenye afya tele ambapo mtoto wa kike amepewa jina la Corona Jose Miguel Gonzales na kaka yake ameitwa Virus Jose Miguel Gonzales.
Annamaria...
Michuzi