Music: Wizkid – Final (Baba Nla)
Japokuwa amesogeza mbele kuachia album yake mpya hadi mwakani 2016, Wizkid anahakikisha mashabiki wake wanaendelea kupata kazi mpya katika kipindi hiki.
Staa huyo wa Nigeria ametoa single mpya ‘Final (Baba Nla)’ ambayo imefanywa na producer Legendury Beatz. Isikilize hapa
http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Wizkid-Final-Baba-Nla-prod.-Legendury-Beatz.mp3Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town!...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Africanjam.Com![](http://4.bp.blogspot.com/-QQC8ZZmDXpo/VkdqqaBzJwI/AAAAAAAAD78/_AsXe7-VBps/s72-c/Final-Baba-Nla-600x600.jpg)
NEW MUSIC: WIZKID - FINAL "BABA NLA" (Download)
![](http://4.bp.blogspot.com/-QQC8ZZmDXpo/VkdqqaBzJwI/AAAAAAAAD78/_AsXe7-VBps/s1600/Final-Baba-Nla-600x600.jpg)
As Wizkid revealed a few days ago via his “Good Times” freestyle, here’s an official single from the Starboy CEO titled “Final (Baba Nla)”. The Legendury Beatz produced song is expected to be part of Wizkid‘s EP billed to drop before the end of the year. In the mean time enjoy FINAL
CLICK HERE TO DOWNLOAD
9 years ago
Bongo511 Dec
New Video: Wizkid – Final (Baba Nla)
![Wizkid2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/10/Wizkid2-300x194.jpg)
Baada ya R.Kelly kuachia wimbo aliomshirikisha Wizkid, staa huyo wa Nigeria naye ameachia video mpya, ni ya wimbo wake alioutoa hivi karibuni ‘Final (Baba Nla)’ Video hiyo imeongozwa na director Sesan.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Bongo511 Dec
Music: R. Kelly Feat. Wizkid- ‘I Just Want to Thank You’
![wizkid-r-kelly-i-just-want-to-thank-you-715x358](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/wizkid-r-kelly-i-just-want-to-thank-you-715x358-300x194.jpg)
Msanii kutoka Marekani na mkali wa R&B R. Kelly Sio kitu rahisi staa wa muziki kutoka Afrika kusikia ameshirikiswa na msanii mkali kama huyo lakini R. Kelly amefanya hivyo kwa kumpa collabo Wizkid baada ya kukubali uwezo wa kijana huyo kutoka Nigeria Wimbo unaitwa “I Just Want to Thank You”. wimbo huu utakuwa katika album mpya ya R. Kelly itakayoitwa “The Buffet”.
http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/R.-Kelly-ft-Wizkid-I-Just-Want-To-Thank-You.m4aJiunge na Bongo5.com...
9 years ago
Bongo525 Nov
Music: Runtown Ft Wizkid – Lagos to Kampala
![Runtown-album-740x431](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Runtown-album-740x431-300x194.jpg)
Off his debut album, Ghetto University comes this banging joint by Runtown featuring Wizkid entitled ‘Lagos to Kampala’.(Prod. Maleek Berry)
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Bongo530 Nov
Music: Burna Boy feat. Wizkid – Single
![burna-boy](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/burna-boy-300x194.png)
Muimbaji Burna Boy wa Nigeria ameachia wimbo mpya uitwao ‘Single’ kutoka kwenye album yake ya pili ‘On A Spaceship’. Kwenye wimbo huo uliotayarishwa na producer Simba Tagz kamshirikisha Wizkid. Usikilize hapa
9 years ago
Bongo502 Oct
Music: DJ Jimmy Jatt Feat. Wizkid — Feeling The Beat
9 years ago
Bongo508 Sep
Music: Radio & Weasel x Wizkid – Nipe Kinfunguo Yako
9 years ago
Bongo506 Nov
Music: Nikki wa Pili — Baba Swalehe
![artist_4831555dceea45ac15e0ecab792b68f7ce66.jpg](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/artist_4831555dceea45ac15e0ecab792b68f7ce66.jpg-300x194.png)
Wimbo mpya wa Nikki wa Pili umetoka leo unaitwa “Baba Swalehe”. Producer Nahreel
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Bongo507 Nov
Music: Baba Jonii Ft. Dolafosalamitido — AEIOU
![aeiou artwork](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/aeiou-artwork-300x194.png)
Adam Mchomvu a.k.a Baba Jonii ameachia wimbo mpya unaitwa “AEIOU”. Amemshirikisha Dolafosalamitido, Studio Tongwe Records.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!