Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanahabari Mohamed Mambo wa Magazeti ya Serikali afiwa na Mkewe kuzikwa Ijumaa

MKE WA MAMBO (IMG-20150916-WA0002)Mke wa mwanahabari na mpiga picha mkuu wa TSN, Mohamed Mambo,  Marehemu Margaret Mwaisaga enzi za uhai wake

TANGAZO LA KIFO

Mpigapicha Mkuu wa Kampuni ya Tanzania standard Newsapapers Limited (TSN), wachapishaji wa magazeti ya Dailynews, Sundaynews, Habarileo, Habarileo Jumapili na Spotileo, Bwana Mohamed Mambo anasikitika kutangaza kifo cha mke wake Margaret Amon Mwaisaga kilichotokea hospitali ya TMJ tarehe 15.09.2015. Msiba upo nyumbani kwa familia ya marehemu mikocheni nyumba namba 87...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

Noorah afiwa na mkewe

Msanii wa Bongo Fleva,Noorah amefiwa na mkewe,akizungumza na clouds fm alisema kuwa mkewe alikuwa akisumbuliwa na kifua na mazishi yanafanyika mkoani Morogoro.

 

10 years ago

GPL

ALI CHOKI AFIWA NA MKEWE

Mkurugenzi wa Extra Bongo, Ali Choki akipozi ndani ya Global TV Online. MKURUGENZI wa bendi ya Extra Bongo, Ali Choki amepata pigo la kuondokewa na mke wake, Shuea Hamis ‘Mama Shuu’ baada ya kuugua kwa muda mrefu Usiku wa kuamkia leo. Akizungumza kwa masikitiko Ali Choki alisema mke wake ameugua kwa muda wa miezi tisa akiwa anasumbuliwa na mguu ambapo alitibiwa nchini India ikashindikana akarudishwa nyumbani...

 

10 years ago

Vijimambo

MWILI WA MKE WA MWANAHABARI THOBIAS MWANAKATWE WAAGWA JIJINI DAR ES SALAAM KUZIKWA KARATU MKOANI ARUSHA

 Mhariri wa Gazeti la Nipashe, Jesse Kwayu (kushoto), na waombolezaji wengine wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa mke wa mwanahabari wa Kampuni ya The Guardian, Thobias Mwanakatwe, Levina Genda wakati wakilipekeka kwenye gari tayari kwa safari ya kwenda Karatu mkoani Arusha kwa mazishi yatakayofanyika kesho. Waombolezaji wakiwa kwenye ibada ya kumuaga Levina Genda, iliyofanyika Hospitali ya Amana Ilala Dar es Salaam leo asubuhi.
 Hapa ni huzuni umetawala. Wafanyakazi wenzake na Thobias...

 

10 years ago

Michuzi

MWILI WA MKE WA MWANAHABARI THOBIAS MWANAKATWE WAAGWA LEO JIJINI DAR, KUZIKWA KARATU MKOANI MANYARA

 Mhariri wa Gazeti la Nipashe, Jesse Kwayu (kushoto), na waombolezaji wengine wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa mke wa mwanahabari wa Kampuni ya The Guardian, Thobias Mwanakatwe, Levina Genda wakati wakilipekeka kwenye gari tayari kwa safari ya kwenda Karatu mkoani Manyara kwa mazishi yatakayofanyika kesho.Mwanahabari wa Kampuni ya The Guardin Ltd, Thobias Mwanakatwe akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa mke wake, Levina Genda wakati wa ibada ya kumuaga iliyofanyika...

 

9 years ago

GPL

MWILI WA BABA YAKE MWANAHABARI, PETER AMBILIKILE WAAGWA JIJINI DAR, KUZIKWA MBEYA LEO‏

 Marehemu Mzee Anyosisye Mwakyusa enzi za uhai wake.  Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Anyosisye Mwakyusa, baba mzazi wa mwandishi mwandamizi wa gazeti la Jambo Leo, Peter Ambilikile, wakati wa ibada ya kumuombea iliyofanyika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Ubungo Kibangu Dar es Salaam jana, kabla ya kuusafirisha kwenda mkoani Mbeya kwa mazishi yatakayofanyika leo.… ...

 

5 years ago

CCM Blog

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani