Mwanamke Mtanzania 'adaka' Kenya kwa 'unga’
MWANAMKE raia wa Tanzania, Joyce Mhonja Mosendi (38) anashikiliwa na Polisi kituo cha Isebania Wilaya ya Kurya West nchini Kenya akituhumiwa kukutwa na unga uliokuwa umepakiwa katika pakiti zaidi ya kumi na kuwekwa kwenye ndoo ya plastiki uliovushwa kwa pikipiki kuingia nchini humo kutoka Sirari, upande wa Tanzania.
habarileo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania