Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanasheria Z’bar alia na tume ya pamoja ya fedha

MWANASHERIA Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Othman Masoud Othman, amesema kushindwa kuanza kazi kwa Tume ya Pamoja ya Fedha ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ndiyo chanzo kikubwa cha misuguano na kero za Muungano.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA UJUMBE WA Tume ya Pamoja ya Fedha (JFC) jijini Dar

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira, Mheshimiwa January Makamba (mbele), akitafakari jambo wakati wa kikao cha kujadili changamoto na utekelezaji wa majukumu ya Tume ya Pamoja ya Fedha (JFC) jijini Dar es Salaam leo, kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Tume hiyo, Abdulrahaman Jumbe. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira, Mheshimiwa January Makamba (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Tume ya Pamoja ya Fedha (JFC)...

 

9 years ago

Michuzi

Mwanasheria Mkuu wa Serikali alia na mtuhumiwa wa madawa ya kulevya

Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), George Masaju amewasilisha waraka Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam akitaka kushikiliwa na kuzuiwa kwa mali zote za mtuhumiwa wa madawa ya kulevya, aliyejulikana kwa jina la Muharami Abdallah, maarufu kwa jina la Chonji na mkewe, Mwalibora Nyanguri kuhamisha umiliki, kupangisha au kuombea mikopo.
Maombi hayo dhidi ya Muharami na mkewe yaliwasilishwa kwa hati ya dharura mahakamani hapo Septemba 13, mwaka huu mbele ya Jaji Wilfred...

 

10 years ago

Habarileo

Mwanasheria Mkuu Z’bar chupuchupu

MWANASHERIA Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman amejikuta akipata wakati mgumu bungeni ambapo askari wa Bunge walilazimika kumlinda na kumficha katika baadhi ya vyumba vilivyopo ndani ya ukumbi.

 

10 years ago

Vijimambo

Mwanasheria Mkuu Z’bar azikataa ibara 22 Katiba

Dodoma.Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Othman Masoud Othman amezua kizaazaa bungeni baada ya jana kupiga kura ya ‘hapana’ katika ibara 22 kwenye Rasimu ya Katiba iliyopendekezwa.Akipiga kura hiyo, Othman ambaye hivi karibuni alijiondoa katika Kamati ya Uandishi kwa kutoridhika na baadhi ya mambo, alieleza kutokubaliana na ibara ya pili, tisa, 86, 37, 70 hadi 75 na Sura ya 11 ambayo ina ibara ya 158, 159, 160 na 161 pamoja na Sura ya 16 yenye ibara za 243 hadi 251...

 

10 years ago

Habarileo

Akaunti ya pamoja Bara, Z'bar hekaheka

MWENYEKITI wa Kamati Namba Moja, Ummy Mwalimu, amesema pamoja na Kamati yake kupitisha sura zote kwa kupata theluthi mbili kila upande, suala la akaunti ya pamoja kwa Tanzania Bara na Zanzibar, hawakufanya uamuzi na lilikuwa na hekaheka kubwa.

 

10 years ago

Michuzi

MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI AKUTANA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI PIA ATEMBELEA OFISI YA TUME ZA HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Ndugu George Masaju akisisitiza jambo mbele ya wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari. Mkutano wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Wahariri wa vyombo vya habari ulikuwa na lengo la kuwapa fursa pana wahariri kuuliza maswali mbalimbali kuhusu ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Absalom Kibanda(katikati) na Mhariri wa gazeti la Jamhuri Manyerere Jackton....

 

10 years ago

GPL

MAPAMBANO YA UKATILI YANAITAJI NGUVU ZA PAMOJA - TUME YA HAKI ZA BINADAMU

Mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku 16 Kupinga Ukatili wa Kijinsia TGNP, Katibu Mtendaji Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora –Tanzania, Bi. Mary Massay akizungumza. Kaimu Mkurugenzi wa TGNP Mtandao, Bi. Lilian Liundi akizungumza katika Maadhimisho ya Siku 16 Kupinga Ukatili wa Kijinsia…

 

10 years ago

Dewji Blog

Mapambano ya ukatili yanahitaji nguvu za pamoja — Tume ya Haki za Binadamu

IMG_03481

Mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku 16 Kupinga Ukatili wa Kijinsia TGNP, Katibu Mtendaji Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora –Tanzania, Bi. Mary Massay akizungumza.

Mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku 16 Kupinga Ukatili wa Kijinsia TGNP, Katibu Mtendaji Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora –Tanzania, Bi.  Mary Massay akizindua eneo la kula kiapo kwa washiriki kupinga ukatili.

Mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku 16 Kupinga Ukatili wa Kijinsia TGNP, Katibu Mtendaji Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora –Tanzania, Bi. Mary Massay akizindua eneo la kula kiapo kwa washiriki kupinga ukatili.

Mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku 16 Kupinga Ukatili wa Kijinsia TGNP, Katibu Mtendaji Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora –Tanzania, Bi.  Mary Massay akizungumza.

Mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku 16 Kupinga Ukatili wa Kijinsia TGNP, Katibu Mtendaji Tume ya...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS DK. SHEIN AMFUTA KAZI MWANASHERIA MKUU SMZ NA KUMTEUA MWANASHERIA MPYA


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohammed Shein amemteua Mh. Said Hassan Said kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.
Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa leo na Katibu wa Baraza la Mapinduzi ambaye pia ni Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee, Dkt Shein amefanya uteuzi huo kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya kifungu 55(1) cha Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984.

Mheshimiwa Said Hassan anachukua nafasi ya aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mh. Othman Masoud...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani