Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwenyekiti wa CCM, Jakaya Kikwete ahaha kupata ushauri

Mwenyekiti wa CCM, Jakaya Kikwete alilazimika kutafuta ushauri kutoka kwa watu mbalimbali kwa ajili ya kuwezesha kazi ya mchujo wa wagombea urais kuisha salama, chama hicho kilisema jana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

JK ahaha kupata ushauri

Dodoma. Mwenyekiti wa CCM, Jakaya Kikwete alilazimika kutafuta ushauri kutoka kwa watu mbalimbali kwa ajili ya kuwezesha kazi ya mchujo wa wagombea urais kuisha salama, chama hicho kilisema jana.

 

11 years ago

GPL

MWENYEKITI WA CCM DK JAKAYA KIKWETE AWASILI MKOANI MBEYA TAYARI KWA MAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA CCM‏

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Rais Dr.Jakaya Kikwete akishuka kwenye ndege mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Songwe mkoani Mbeya mara baada ya kuwasili rasmi mkoani humo tayari kwa kuongoza maadhimisho ya Miaka 37 ya Chama cha Mapinduzi yanayofanyika kesho kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya, ambapo amepokelewa na viongozi mbalimbali wa kitaifa wa Chama na Serikali pamoja na wananchi...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mwenyekiti wa CCM Dkt Jakaya Kikwete aongoza Kikao cha Halmashauri kuu ya CCM Jijini leo

IMGL0111

Mwenyekiti wa CCM Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri kuu ya CCM jijini Dar es salaam ambacho kimehudhuriwa kwa mara ya kwanza na Rais wa Awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli.(PICHA NA ISSA MICHUZI WA IKULU).

 

9 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CCM DKT. JAKAYA KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Mwenyekiti wa CCM Taifa, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati kuu ya CCM jijini Dar es salaam ambacho kimehudhuriwa kwa mara ya kwanza na Rais wa Awamu ya Tano, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli. PICHA NA ISSA MICHUZI - IKULU.

 

10 years ago

Vijimambo

MWENYEKITI WA CCM RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM jijini Dar es salaam leo. PICHA NA IKULU

 

11 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CCM,RAIS JAKAYA KIKWETE AWASILI JIJINI MBEYA JIONI YA LEO TAYARI KWA KUONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA CCM KESHO.

 Mwenyekiti wa chama cha CCM,Rais Jakaya Kikwete akiwapungia Viongozi mbalimbali wa chama,Serikali,na viongozi wa dini na watu mbalimbali (hawapo pichani) waliofika kumpokea mara baada kuwasili jioni ya leo kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe  tayari kwa kuongoza maadhimisho ya sherehe za miaka 37 ya chama hicho yatakayofanyika kwenye uwanja wa kumbukumbu wa Sokoine mjini humo.   Pichani Kati ni Mwenyekiti wa CCM,Rais Jakaya Kikwete akiwa ameambatana na Katibu Mkuu wa chama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani