MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAZAZI ABDALLAH BULEMBO AWAAPISHA WANACHAMA 367 WAPYA WA CCM WILAYA YA NYASA MKOANI RUVUMA
![](http://4.bp.blogspot.com/-n06lITZYOLA/U5cHe-2Z6MI/AAAAAAAAGc8/R7bU-qjuuQk/s72-c/WP_20140609_002.jpg)
Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi ya Chama Cha mapinduzi CCM (Taifa) Bw. Abdallah Bulembo aliyevaa taji shingoni akicheza ngoma ya asili katika kijiji cha Kingirikiti Wilaya ya Nyasa wakati wa Ziara yake
Kikundi cha akina mama kikitoa burudani
Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi ya Chama Cha mapinduzi CCM (Taifa) Bw. Abdallah Bulembo akitoa kadi kwa mwanachama mpya wa CCM kata ya LUMEME kijiji cha KINGIRIKITI wilaya ya Nyasa, kwa wanachama 367 waliojiunga na chama hicho cha CCM
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-n06lITZYOLA/U5cHe-2Z6MI/AAAAAAAAGc8/R7bU-qjuuQk/s72-c/WP_20140609_002.jpg)
MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WAZAZI YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM (TAIFA) AWAAPISHA WANACHAMA 367 WAPYA WA CCM WILAYA YA NYASA MKOANI RUVUMA
![](http://4.bp.blogspot.com/-n06lITZYOLA/U5cHe-2Z6MI/AAAAAAAAGc8/R7bU-qjuuQk/s1600/WP_20140609_002.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-KdnxJ1aW1n0/U5cI8AVOS6I/AAAAAAAAGeM/-12aGh-7FhU/s1600/WP_20140609_061.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-dq_xphw_C8g/U5cHYdx-vxI/AAAAAAAAGc0/1Q3GNwFdZxA/s1600/WP_20140609_010.jpg)
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
11 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AFUNGUA DARAJA LA RUHEKEI LINALOUNGANISHA WILAYA YA MBINGA NA WILAYA YA NYASA MKOANI RUVUMA
10 years ago
Michuzi01 Nov
JUMUIYA YA WAZAZI YA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) MKOA WA DAR ES SALAAM YAZINDUA DAFTARI LA WANACHAMA WAKE
11 years ago
Dewji Blog10 Apr
Mwenyekiti Jumuiya ya wazazi (CCM) Singida amewahimiza wanaCCM kushiriki uchaguzi wa serikali ya mitaa
Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi (CCM) mkoa wa Singida, Yusuph Mwandami (wa kwanza kushoto) akiingia kwenye viwanja vya shule ya msingi kijiji cha Manguamitogho manispaa ya Singida, kwa ajili ya kuhutubia wana CCM na wananchi wa manispaa ya Singida kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya wazazi kimkoa.Wa pili kushoto ni mchumi wa manispaa ya Singida, Mollel.
Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi (CCM) mkoa wa Singida, Yusuph Mwandami, akipanda mti ikiwa ni sehemu ya kilele cha maadhimisho ya...
10 years ago
VijimamboJUMUIYA YA WAZAZI YA CCM KATA YA SINZA YAWASHUKURU WANACHAMA WAKE KWA KUKIPA USHINDI KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge akiwahutubia wanaccm wa Kata ya Sinza katika mkutano wa hadhara wa kuwashukuru kufuatia kukipa ushindi chama hicho kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika hivi karibuni.
10 years ago
VijimamboDK.SHEIN AWAAPISHA WAKUU WAPYA WA WILAYA PEMBA
9 years ago
MichuziMwenyekiti wa Wazazi (CCM), wilaya ya Ilala mgeni rasmi kwenye mahafali ya shule ya awali ya St Andrew’s
Ufisadi na vitendo vingine vya wizi na ubadhirifu wa mali za umma nchini unachangiwa kwa kiasi kikubwa na malezi mabaya wanayoyapata watoto toka ngazi ya familia na tatizo linakuwa kubwa zaidi anapoingia katika ajira.
Akizungumza wakati wa mahafali ya saba ya Shule za St. Andrew’s zilizopo Tabata Kisukuru, jijini Dar es Salaam juzi, Mwenyekiti wa Wazazi (CCM), wilaya ya Ilala, Meltus Magungu alisema tabia mbaya za majumbani iiwa ni pamoja na choyo uwa na athari mbaya...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Y-sriCxrZ0A/UxOTXHtPYLI/AAAAAAAFQkk/1Irt0inKXiI/s72-c/1.jpg)
KATIBU MKUU WA CCM AKABIDHI PIKIPIKI 9 NA BAISKELI 86 KWA KATA NA MATAWI YA CCM WILAYA YA KIBAHA VIJIJINI,PIA AKABIDHI KADI KWA WANACHAMA WAPYA ZAIDI YA 100
![](http://4.bp.blogspot.com/-Y-sriCxrZ0A/UxOTXHtPYLI/AAAAAAAFQkk/1Irt0inKXiI/s1600/1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-LJzf6SHcIf8/UxOUclREtwI/AAAAAAAFQnY/WoJ0v18VwP8/s1600/3.jpg)
10 years ago
Dewji Blog06 Jun