Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWIGULU NCHEMBA ALONGA UMOJA WA MATAIFA

 Naibu Waziri wa  Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.  Mwigulu Nchemba ( Mb) akizungumza wakati wa majadiliano kuhusu masuala ya  Ushirikiano wa Kimaendeleo uliofanyika kwa siku mbili hapa Umoja wa Mataifa. Mhe. Naibu  Waziri  alikuwa mmoja wa wanajopo wanne walioendesha majadiliano hayo. Katika mchango wake, Naibu  Waziri pamoja na mambo mengine amesisitiza  kuwa  Ushirikiano wa Kimaendeleo bado  una mchango mkubwa katika ufanikishaji wa  suala zima la maendeleo endelevu lakini...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

HIVI NDIVYO MWIGULU NCHEMBA ALIVYOTUA MBULU HII LEO,NI OPARESHENI "UMOJA NI USHINDI"


Mwigulu akisisitiza jambo kuhusu hujuma dhidi ya Dawa za Hospitali za Serikali zinavyotafunwa na Wachache ili hali wananchi wanahali ngumu.Mwigulu Nchemba akizungumza na Umati wa wakazi wa Mbulu waliofika Mchana waleo kwenye mkutano wa hadhara viwanja vya Mpira mbulu kusikiliza sera za Chama cha Mapinduzi kuelekea Uchaguzi wa serikali za Mitaa.CCM Oyeeeeeeeeeee!!!!Mh:Mwigulu nchemba akisalimiana na Wananchi wa Mbulu Mjini hii leo alipokutana nao kwenye Mkutano wa hadhara wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwigulu Nchemba: Nitawavusha Watanzania

Dodoma/Dar. Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba ametangaza nia yake ya kugombea urais kupitia CCM katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba akieleza jinsi atakavyoivusha Tanzania kuwa nchi yenye uchumi wa kati utakaopatikana kwa kutoa haki kwa watu wote.

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

GPL

MWIGULU NCHEMBA AUTEKA MJI WA GEITA

Mwigulu Nchemba akiwasili Uwanja wa MKutano Geita mjini jana.
Comrade Mwigulu Nchemba mbaye ni Naibu katibu Mkuu CCM Bara akionesha Ishara ya Dole "Mambo Poa" wakati akiwasalimia wananchi wa geita hii jana.…

 

10 years ago

IPPmedia

Deputy Finance Minister, Mwigulu Nchemba


IPPmedia
Deputy Finance Minister, Mwigulu Nchemba
IPPmedia
The government believes it can raise the 1.5trn/- it gets in foreign budget support from its own institutions that generate an average of 17trn/- yearly and as such, plans to wean off the foreign aid as of this financial year, 2015/16. Speaking to reporters over the ...

 

11 years ago

IPPmedia

Deputy Minister for Finance, Mwigulu Nchemba


IPPmedia
Deputy Minister for Finance, Mwigulu Nchemba
IPPmedia
The Government has directed the Constituent Assembly (CA) to suspend the sitting allowances for all members of the Coalition for People's Constitution (Ukawa) and other CA members who walked out of parliament on Wednesday evening. Deputy Minister ...
CA Chair Sitta dismayed by Wednesday walkoutDaily News

all 8

 

10 years ago

Michuzi

MWIGULU NCHEMBA ATIKISA MKOA WA MOROGORO

Mwenyekiti wa Mkoa wa Geita Ndugu.Josephat Msukuma akizungumza na wananchi wa Morogoro Mjini wakati wa ziara ya Naibu Katibu Mkuu.Naibu Katibu Mkuu CCM Bara akiwasalimia wananchi wa Morogoro Mjini hii leo.Comrade Mwigulu Nchemba akizungumza na Wananchi wa Morogoro Mjini,Mwigulu amesisitiza wananchi kusimamia Vizuri Mali za Umma hasa kwa Viongozi waliopewa dhamana,Pia amesisitiza wananchi kujiandikisha kwenye Daftari la kupiga kura.Mkutano Ukiendelea Morogoro Mjini.Kwa picha zaidi BOFYA...

 

10 years ago

Michuzi

COMRADE MWIGULU NCHEMBA AUTEKA MJI WA GEITA

Muonekano wa Umati wa Wananchi waliotulia wakisikiliza hoja za Msingi kutoka kwa Mwigulu Nchemba.Comrade Mwigulu Nchemba akisisitiza Jambo kwa Wananchi wa Geita Mjini kuhusu Uchaguzi wa serikali za Mitaa.Picha zaidi BOFYA HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani