Mwisho wa Ulimwengu, Samatta umewadia
Uswahiba una mwisho wake. Mwisho wa uswahiba wa mastaa wawili wa TP Mazembe na timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu unaonekana umewadia na muda si mrefu hawatakuwa karibu tena.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi09 Oct
‘Ulimwengu, Samatta kiboko’
9 years ago
TheCitizen11 Nov
Samatta, Ulimwengu, Ngassa out
9 years ago
Mtanzania16 Nov
Samatta, Ulimwengu wamdatisha Mfaransa
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Algeria ‘The Desert Foxes’, Christian Gourcuff, ameukubali uwezo ulioonyeshwa na wachezaji wa Tanzania ‘Taifa Stars’ wakiwemo nyota wa kikosi hicho, Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu.
Kauli ya Mfaransa huyo imekuja baada ya Stars kutoa sare ya mabao 2-2 dhidi ya kikosi chake kwenye mchezo wa kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam juzi.
Licha ya Samatta kufunga moja ya...
9 years ago
Mtanzania14 Dec
Samatta, Ulimwengu waikosa Barcelona
BADI MCHOMOLO, DAR ES SALAAM
NDOTO za Watanzania Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu wanaokipiga TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kucheza na Barcelona zilizimwa jana na Sanfrecce Hiroshima ya Japan.
TP Mazembe ambao ni mabingwa wa Afrika ngazi ya klabu ilipokea kipigo cha mabao 3-0 dhidi ya wapinzani wao katika michuano ya Klabu Bingwa Dunia inayoendelea nchini Japan.
Mazembe waliweza kumiliki mchezo huo kwa dakika 40 za kipindi cha kwanza kabla ya kuruhusu wapinzani wao kupata...
9 years ago
Mwananchi08 Nov
Kila kona ni Samatta, Ulimwengu
11 years ago
Tanzania Daima15 Jul
Samatta, Ulimwengu wawafuata Msumbiji
NYOTA wa kimataifa wa Tanzania wanaochezea klabu ya TP Mazembe ya DR Congo, Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu, wanatarajiwa kuwasili nchini kesho. Wachezaji hao wanakuja kujiunga na kambi ya timu...
10 years ago
BBCSwahili25 Mar
Samatta,Ulimwengu, kuikabili Malawi
9 years ago
Habarileo10 Nov
Malinzi awapongeza Samatta, Ulimwengu
RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi (pichani) amewatumia salamu za pongezi wachezaji Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu wanaochezea klabu ya TP Mazembe ya Congo DR kufuatia kutwaa Ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CL) juzi kwa kuifunga timu ya USM Algiers kwa jumla ya mabao 4-1.
9 years ago
Habarileo11 Nov
Samatta, Ulimwengu kuifuata Stars Dar
WASHAMBULIAJI mahiri wa Tanzania wanaoichezea TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Mbwana Ally Samatta na Thomas Ulimwengu wataungana na timu ya taifa jijini Dar es Salaam badala ya kwenda Afrika Kusini ambako imepiga kambi.