Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mzinga watokea kwenye makutano ya Shule ya Msingi Oysterbay

 Wasamalia wema wakifanya utaratibu wa kumuokoa Dereva wa Gari aina ya Isuzu Trooper iliyopiga mweleka katika makutano ya Shule ya Msingi Oysterbay,mara baada ya kugongana na gari nyingine aina ya Toyota Vitz iliyokuwa ikitokea upande wa Coco Beach jijini Dar mchana wa leo na kupekea dereva wa Gari hii (alikuwa ni Mama mtu mzima ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja) kuumia sehemu ya kiuno na mkono.Gari hii ilikuwa inatokea upande wa St. Peter's kuelekea Morogoro Store na Vitz...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

BUNGE LA WATOTO OYSTERBAY SHULE YA MSINGI MKOANI MANYARA WAFANIKIWA KUWARUDISHA WATOTO WA MITAANI SHULE


Abdallah Waziri - ambaye ni mmoja wa watoto wa mitaani aliyerudishwa shule kwenye kikao cha leo.

Abdallah Waziri, Asia Mtibua na Mwalimu Gaudensia Igoshalimo wakimkaribisha Abdallah Waziri shuleni.

Mmoja wa wajumbe akitoa maoni yake katika kikao cha bunge katika shule ya oysterbay mkoani manyara

Mbunge Nasri Selemani akifuatilia hoja kwa makini.wakati kikao cha bunge la watoto likiendelea katika shule ya oysterbay mkoani manyara

Mbunge Nasri Selemani ambaye alikuwa ni mfanyakazi wa...

 

11 years ago

Michuzi

TANZANITE ONE WAKABIDHI MSAADA WA SHILINGI MILIONI 42 KWENYE SHULE YA MSINGI NEW VISION

Hiyo ndiyo mfano wa hundi ya shilingi milioni 42 iliyotolewa na kampuni ya TanzaniteOne kwa shule hiyo ya New Vision ya Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, ambapo ina wanafunzi 400 kati yao 67 ni watoto yatima (kushoto) ni Meneja Uhusiano wa Kampuni ya TanzaniteOne Halfani Hayeshi. Katibu Tawala wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Elias Ntiruhungwa akionyesha picha iliyochorwa na mwanafunzi wa shule ya msingi New Vision, Gift Junior baada ya shule hiyo kukabidhiwa...

 

9 years ago

Michuzi

MKUTANO WA KAMPENI WA KINANA MBEYA MJINI KWENYE VIWANJA VYA SHULE YA MSINGI MWENGE

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Mbeya mjini kwenye mkutano wa kampeni za CCM ambapo aliwaombea kura wagombea wa nafasi za Urais , Ubunge na Udiwani.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Mbeya mjini ambapo aliwaambia Magufuli ni mchapakazi na yupo tayari kuleta mabadiliko ya kimaendeleo Tanzania.
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Mbeya mjini ambapo aliwataka vijana kutohadaika na kudanganywa...

 

9 years ago

Michuzi

MO DEWJI FOUNDATION YAKABIDHI MATUNDU NANE YA CHOO BORA KWENYE SHULE YA MSINGI KIBAONI

DSC01579
Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Kibaoni mjini Singida, Sundi Samike, akizungumza kwenye hafla ya kukabidhi choo bora chenye matundu nane chenye thamani ya zaidi ya shilingi 16 milioni zilizotolewa na MO Dewji Foundation (shilingi 14 milioni) na Doris Mollel Foundation shilingi 2.3 milioni).DSC01583Mwakilishi wa Mo Dewji Foundation mkoani Singida, Duda Mughenyi, akizungumza kwenye hafla ya kukabidhi choo bora chenye matundu nane shule ya msingi Kibaoni mjini Singida, chenye thamani ya zaidi ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mo Dewji Foundation yakabidhi matundu nane ya Choo bora kwenye shule ya Msingi Kibaoni Singida

DSC01579

Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Kibaoni mjini Singida, Sundi Samike, akizungumza kwenye hafla ya kukabidhi choo bora chenye matundu nane chenye thamani ya zaidi ya shilingi 16 milioni zilizotolewa na MO Dewji Foundation (shilingi 14 milioni) na Doris Mollel Foundation shilingi 2.3 milioni).

DSC01583

Mwakilishi wa Mo Dewji Foundation mkoani Singida, Duda Mughenyi, akizungumza kwenye hafla ya kukabidhi choo bora chenye matundu nane shule ya msingi Kibaoni mjini Singida, chenye thamani ya zaidi ya...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mama Salma Kikwete mgeni rasmi kwenye tamasha la kwanza la vitabu vya hadithi kwa watoto wa shule za msingi

DSC_0481

Baadhi ya watoto wa shule za msingi jijini Dar wakifanya mazoezi ya maigizo kwa ajili ya tamasha la kesho kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa.

DSC_0533

Na Mwandishi wetu

WANAFUNZI wa shule za Msingi nchini, wameshauriwa kuwa na mazoea ya kusoma vitabu kwa lengo la kuwa wagunduzi wa vitu mbalimbali.

Akizungumza  jijini Dar es Salaam,Mkurugenzi Mtendaji wa  Taasisi ya Soma, Demere Kitunga wakati wa maandalizi ya tamasha la kwanza la vitabu vya hadithi kwa watoto wa Shule za msingi.

Kitunga amesema...

 

11 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA SHULE YA MSINGI YA MSIMBAZI MSETO KWENYE KITUO CHA WATOTO WENYE USONJI (AUTISM).

  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipiga picha na watoto Abdallah Athuman (kulia) na Nasma Jumanne (kushoto) wenye matatizo ya usonji  (autism) wakati alipotembelea kwenye Shule ya Msingi Msimbazi Mseto   Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akishiriki katika kuimba na kucheza na watoto wenye matatizo ya usonji (autism),wazazi na walimu wakati alipotembelea  Shule ya Msingi Msimbazi Mseto   Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akishiriki katika kuimba na kucheza na watoto wenye matatizo ya usonji...

 

11 years ago

GPL

MAMA SALMA KIKWETE MGENI RASMI KWENYE TAMASHA LA KWANZA LA VITABU VYA HADITHI KWA WATOTO WA SHULE ZA MSINGI‏

Baadhi ya watoto wa shule za msingi jijini Dar wakifanya mazoezi ya maigizo kwa ajili ya tamasha la kesho kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa. Mmoja wa watoto akionyesha kipaji chake wakati wa mazoezi kwa vitendo kupitia hadithi mbalimbali walizosoma kutoka kwenye vitabu. Na Mwandishi wetu WANAFUNZI wa shule za Msingi nchini, wameshauriwa kuwa na… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani