NAIBU BALOZI WA UINGEREZA NCHINI, AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE, JIJINI DAR LEO
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia) akizungumza na Naibu Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Penny Smith (katikati) masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya nchi yake na Tanzania. Kushoto ni Mshauri wa Haki Jinai, Ubalozi wa Uingerzea nchini, Lindsey McNally. Mazungumzo hayo yalifanyika katika ofisi ya Waziri Chikawe, Barabara ya Ohio, jijini Dar es Salaam leo.
Mshauri wa Haki Jinai, Ubalozi wa Uingereza nchini, Lindsey McNally (kushoto) akimfafanulia ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboBALOZI WA UINGEREZA AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE, JIJINI DAR ES SALAAM LEO
10 years ago
MichuziBALOZI WA KUWAIT NCHINI AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE, JIJINI DAR ES SALAAM LEO
10 years ago
MichuziBALOZI WA NORWAY NCHINI AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE, JIJINI DAR ES SALAAM LEO
10 years ago
Michuzi.jpg)
BALOZI WA MAREKANI AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE JIJINI DAR ES SALAAM LEO
.jpg)
.jpg)
10 years ago
VijimamboBALOZI WA MAREKANI AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
MichuziMWAKILISHI WA MAREKANI AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE JIJINI DAR ES SALAAM LEO
10 years ago
Michuzi.jpg)
MKUU WA SHIRIKA LA KIMATAIFA LA UHAMIAJI (IOM) NCHINI AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE DAR LEO
.jpg)
.jpg)
11 years ago
Michuzi
BALOZI WA UJERUMANI NCHINI AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE D’SALAAM


10 years ago
Michuzi.jpg)
MWAKILISHI MKAZI WA MASHIRIKA YA UMOJA WA MATAIFA NCHINI, AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE DAR ES SALAAM LEO
.jpg)