NAIBU WAZIRI WA MIUNDO MBINU ISSA GAVU AFUNGUA MTAMBO WA KUSAFISHIA MAJI UZING'AMBWA.
-Naibu Waziri wa Miundo mbinu na Mawasiliano Issa Haji Ussi (Gavu)akifungua kitambaa kama ishara ya Ufunguzi wa mtambo wa kubadilishia maji kutoka kwenye chumvi na kuwa safi na salama huko Uzi Ng'ambwa Wilaya ya kati Unguja ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 51ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Naibu Waziri wa Miundo mbinu na Mawasiliano Issa Haji Ussi (Gavu)akikinga Maji yaliobadilishwa kutoka kwenye chumvi na kuwa safi na salama baada ya kufungua huko Uzi Ng'ambwa Wilaya ya kati...
Michuzi