Nay Wa Mitego apima ‘ngoma’afunguka kuchepuka
Staa wa Bongo Fleva,Nay Wa Mitego hivi karibuni aliweka wazi majibu yake baada ya kupima UKIMWI kupitia account yake ya Instagram na kwamba alikuwa yupo safi yaani(Negative).
Alipoulizwa sababu ya kupima ngoma alisema kuwa alikuwa akiumwa ugonjwa wa Malaria na alikuwa hajaugua kwa muda mrefu na alipokwenda hospitali ilibidi apime na ngoma ingawa ni kawaida yake kupima mara kwa mara.
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM08 Apr
Nay Wa Mitego afunguka uhusiano wake na Shamsa Ford
Staa wa Bongo Fleva,Elibarik Emmanuel ‘Nay Wa Mitego’amefunguka uhusiano wake na mwigizaji wa filamu za Kibongo,Shamsa Ford baada ya picha kadhaa kuzagaa mtandaoni wakiwa kimahaba wakipigana mabusu.Akipiga Stori na Clouds Fm alisema kuwa hana uhusiano wa kimapenzi na mwanamke yoyote kwa sasa siyo tu Shamsa Ford, na nafasi ipo kwa yoyote anatakayekubali kuwa mpenzi wake.
10 years ago
CloudsFM14 Apr
Nay Wa Mitego,Diamond waingia studio kwa mara nyingine kufanya ngoma.
Staa wa Bongo Fleva,Nay Wa Mitego anatarajia kuachia ngoma yake mpya aliyomshirikisha Diamond Platinumz hivi karibuni. Akizungumza na Clouds FM, Nay alisema kuwa ngoma hiyo ameifanya kwenye studio za Free Nation kwa producer Mr.Tee Touch na kwamba jina la ngoma hiyo atalisema siku ambayo atakayoitambulisha ngoma hiyo.
‘’Yaah nimefanya ngoma tena na Diamond Platinumz na nitaitambulisha hivi karibuni kikweli sijisifii ni bonge la ngoma,’’alisema Nay Wa Mitego.
Mastaa hao walishawahi kufanya...
10 years ago
Bongo523 Aug
Behind The Scenes: Utengenezaji wa video ya Nay Wa Mitego ‘Mr Nay’ nchini Kenya
10 years ago
Bongo530 Aug
Usichokifahamu kuhusu ‘concept’ ya video mpya ya Nay wa Mitego ‘Mr Nay’
9 years ago
Bongo519 Nov
Chagga Barbie ndiye ameziba nafasi ya Shamsa Ford kwa Nay Wa Mitego? Nay azungumza
![Chagga na Nay](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Chagga-na-Nay-300x194.jpg)
Jimbo la mapenzi la Nay Wa Mitego liko wazi toka aachane na aliyekuwa cousin mpenzi wake Shamsa Ford, lakini swali ni kwamba ni mrembo gani aliyerithi nafasi hiyo iliyoachwa wazi na Shamsa ambayo huenda kuna warembo wengi wanaitamani?
Kama unamfatilia Nay Wa Mitego kwenye akunti yake ya Instagram sina shaka utakuwa umeanza kuona dalili za kuwa kuna mpenzi mpya ‘mteule’ anayesubiri ‘kuapishwa’ na kuwa rasmi.
Chagga Barbie sio jina geni, ndio yule aliyezitawala headlines nyingi alipokuwa...
10 years ago
GPL29 Aug
10 years ago
Bongo529 Aug
New video: Nay Wa Mitego — Mr Nay
10 years ago
Bongo519 Aug
Video: Tazama teaser ya video mpya ya Nay wa Mitego ‘ Mr Nay’ iliyofanyika Kenya
10 years ago
Vijimambo10 Nov