Nay wa Mitego kuachia wimbo mpya ‘Nimewaka’, video kushoot Dubai au US!
Nay wa Mitego anatarajia kuachia wimbo wake mpya uitwao ‘Nimewaka’ ambapo pia ametoa sababu ya kuachia nyimbo mfululizo. Nay akiwasili Mwanza kwenye Fiesta Nay ambaye aliachia wimbo wa Mr Nay hivi karibuni ameiambia Bongo5 kuwa inambidi aachie wimbo mpya ili kuwapa mashabiki muziki ambao adai wanaupenda. “Kiukweli kabisa mimi nina mashabiki wengi na wa aina […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo510 Mar
Ni collabo na Diamond au na Mnigeria: Nay wa Mitego kuachia kazi mpya wiki ijayo
10 years ago
Bongo519 Aug
Video: Tazama teaser ya video mpya ya Nay wa Mitego ‘ Mr Nay’ iliyofanyika Kenya
10 years ago
Bongo530 Aug
Usichokifahamu kuhusu ‘concept’ ya video mpya ya Nay wa Mitego ‘Mr Nay’
10 years ago
GPL13 Nov
9 years ago
Bongo507 Nov
Mwana FA kwenda Afrika Kusini kushoot video ya wimbo mpya
![FA](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/FA-300x194.jpg)
Mwana Fa ni miongoni mwa wasanii waliositisha kazi zao za muziki ili kupisha mambo ya kampeni pamoja na uchaguzi, na sasa baada ya hayo yote kumalizika yuko tayari kurejea kwenye uwanja wake wa kujidai, yaani muziki.
Binamu amesema kuwa ana kazi nyingi ambazo amezifanya na anaendelea kufanya zingine, “Kweli nina kazi wala sio kazi moja wala sio kazi mbili, yani nina kazi kadhaa na wiki ijayo narekodi nyingine,” aliiambia Planet Bongo ya East Africa Radio. “ lakini haya mambo ya uchaguzi...
10 years ago
Bongo523 Aug
Behind The Scenes: Utengenezaji wa video ya Nay Wa Mitego ‘Mr Nay’ nchini Kenya
10 years ago
GPL29 Aug
9 years ago
Bongo527 Nov
Kala Jeremiah kuachia wimbo mpya mwezi ujao, pia aeleza sababu za kumtumia director Pablo kwenye video nyingi
![Kala](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Kala-300x194.jpg)
Baada ya kipindi cha kampeni kupita Kala Jeremiah pia yuko kwenye foleni ya wasanii wanaotaka kutoa kazi mpya za kufungua mwaka.
Kala ameiambia Bongo5 kuwa tayari video ya kazi mpya imekamilika na anatarajia kuitoa hivi karibuni.
“Video ya wimbo mpya na nimeshoot na PABLO ila nisingependa kwanza kutaja jina la wimbo, lakini mwezi wa 12 lazima itoke”.
Video nne zilizopita za Kala (Nchi ya Ahadi, Usikate Tamaa, Simu Ya Mwisho, Wale Wale) zote zimeongozwa na Pablo, kuhusu kwanini ameamua...