Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NCCR-MAGEUZI WAZINDUA KAMPENI JIMBO LA MWANGA KUMNADI MSUYA

Baadhi ya wananchi katika kata ya Kifula ,jimbo la Mwanga wakifuatilia uzinduzi wa mkutano wa kampeni wa chama cha NCCR-Mageuzi.Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi na Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA,James Mbatia akihutubia katika mkutano huo.
Mke wa mgombea Ubunge katika jimbo la Mwanga,Youngsevier  Msuya,Dorcas Youngsevier akizungumza katika mkutano huo.Baadhi ya viongozi wa chama cha NCCR-Mageuzi wakifuatilia mkutano huo.Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi na Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA,James...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

MTIA NIA WA UBUNGE JIMBO LA MWANGA KUPITIA NCCR-MAGEUZI ,YOUNGSEVIER MSUYA ARESHA FOMU

Mtia nia wa nafasi ya Ubunge jimbo la Mwanga kupitia chama cha NCCR-Mageuzi ,Wakili wa kujitegemea ,Youngsevier Msuya akisalimia wakati msafara wake ukipita katika maeneo mbalimbali ya mji wa Mwanga.Msafara wa Magari na Pikipiki wa mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Mwanga kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi Wakili wa kujitegemea,Youngsevier Msuya ukitoka eneo la Njia Panda kuelekea wilaya ya Mwanga kwa ajili ya zoezi la Urejeshaji wa fomu.
Msafara wa Mtia nia ,Wakili wa...

 

9 years ago

Vijimambo

ALIYEKUWA MAKAMU MWENYEKITI WA NCCR-MAGEUZI ASEMA TARARIBU ZA KUNING'OA NAFASI YANGU ZILIKIUKWA NA NCCR -MAGEUZI


Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi,Letcia Mosore (katikati)akizungumza na waandishi wa (habari hawapo pichani)  juu  ya ukiukaji wa katiba ya chama hicho kumvua madaraka iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.Kulia ni Mwakilishi NCCR-Mageuzi ,Hamlyn Erasto,Kushoto ni Kamishina Mkoa wa Ruvuma,Mchatta Mchatta.Baadhi ya waandishi wakiwa katika mkutano huo.

Na Chalila Kibuda

AALIYEKUWA  Makamu Makamu Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Letcia Mosore amesema kuwa taratibu za kumvua nafasi...

 

10 years ago

Michuzi

NCCR-MAGEUZI WASHAMBULIA JIMBO LA VUNJO

Mwenyekiti wa kitengo cha kina mama Jimbo la unjo na Katibu wa Chama cha NCCR Mageuzi kata ya Kilema, Leah Mudy akizungmza wakati wa mkutano uliofanyika katika eneo la Lyamombikatika jimbo la Vunjo.
Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi jimbo la Vunjo ,Dauson Lyimo akizungumza katika mkutano huo.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Michuzi

MBATIA AWANADI WAGOMBEA WA CHAMA NCCR-MAGEUZI KATIKA JIMBO LA VUNJO

Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi,James Mbatia akimtambulisha mwenyekiti wa kitongoji cha Pangara ,Humphrey Machange aliyepita bila kupingwa katika kitongoji hicho kwa tiketi ya chama cha NCCR-Mageuzi.Mh Mbatia akimnadi mgombea wa nafasi ya uenyekiti katika kijiji cha Maring'a.Wagombea wa nafasi ya Wajumbe wa Halmashauri wakiwa na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi wakati wa mkutano wa kuwanadi wagombea wa chama hicho uliofanyika katika kijiji cha Maring'a.Wananchi katika Jimbo la Vunjo wakiwa...

 

10 years ago

Michuzi

NCCR-MAGEUZI WAANZA KUSHAMBULIA JIMBO LA VUNJO,WAWATAMBULISHA WAGOMBEA WA NAFASI YA UDIWANI

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha NCCR-Mageuzi taifa ,Hemed Msabaha akizungumza wakati wa mikutano wa kutamburisha wagombea wa nafasi ya udiwani inayofanyika katika jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro.Baadhi ya viongozi wa NCCR-Mageuzi jimbo la Vunjo wa kiwa katika moja ya mikutano hiyo kata ya Makuyuni.Msaidizi wa Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi taifa na Mbunge wa kuteuliwa, James Mbatia ,Bw Hamis Athuman akitoa salamu za mwenyekiti huyo wakati wa mkutano wa utamburisho wa wagombea...

 

10 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA NCCR-MAGEUZI,JAMES MBATIA AKARIBISHWA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA VUNJO

Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi taifa ,James Mbatia akipungungia wananchi wakati msafara wa pikipiki na magari ukipita katika maeneo mbalimbali ya jimbo la Vunjo.Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi taifa ,James Mbatia akifurahia jambo akiwa na mjumbe wa mkutano mkuu wa NCCR,Hemed Msabaha,(kulia)Umati wa wakazi wa mji wa Himo wakisiliza kwa makini hotuba zilizokuwa zikitolewa katika mkutano wa hadhara wa Mh James Mbatia aliofanya katika uwanja wa Ghalani.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

GPL

MWENYEKITI WA NCCR-MAGEUZI, JAMES MBATIA AKARIBISHWA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA VUNJO

Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi taifa ,James Mbatia akipungia wananchi wakati msafara wa pikipiki na magari ukipita katika maeneo mbalimbali ya jimbo la Vunjo. Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi taifa ,James Mbatia akifurahia jambo akiwa na mjumbe wa mkutano mkuu wa NCCR,Hemed Msabaha,(kulia)…

 

10 years ago

Michuzi

MHE.DAVID KAFULILA ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE TENA KATIKA JIMBO LA KIGOMA KASINI KUPITIA CHAMA CHA NCCR-MAGEUZI

 Mhe Kafulila akihutubia maelfu ya wakazi wa Nguruka mara baada ya kupokea fomu ya kugombea ubunge katika jimbo lake.aliyokabidhiwa na wazee wa jimbo hilo Mhe David Kafulila ikiingia katika viwanja vya shule ya msingi Nguruka kwaajili ya kuchukua fomu ya kugombea ubunge kwa awamu ya pili jimboni kwake.  Mhe Kafulila akiwaaga wananchi wa Nguruka baada ya kumaliza mkutano wake wa hadhara.Baadhi ya wananchi wa Nguruka waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Mhe.David Kafulila na kushuhudia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani