Ndege zisizo na rubani kufichua majangili
KAMPUNI ya Bathawk Recon inafanya mazungumzo na Wizara ya Maliasili na Utalii, ya kuleta teknolojia ya ndege zisizo na rubani, kwa ajili ya kufichua majangili wanaoua wanyama katika hifadhi za Taifa.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili08 May
Utumizi wa ndege zisizo na rubani US
Shirika linalosimamia anga za juu Marekani limesema kuwa litashirikiana na kampuni nyengine tatu ili kulisaidia katika kupanua utumizi wa ndege hizo.
11 years ago
BBCSwahili19 Jun
Ndege zisizo na rubani kutumiwa Mali
Ndege zisizo na rubani zitaanza kutumiwa na Umoja wa Mataifa nchini Mali kukabiliana na utovu wa usalama eneo la Kaskazini mwa nchi hiyo.
10 years ago
BBCSwahili07 May
Ndege zisizo na rubani zatumika Nepal
Ndege zisizokuwa na rubani zinatumiwa kupeleka msaada Nepal kufuatia tetemeko baya lililokumba taifa hilo.
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Tazama ndege hizi zisizo na rubani zinavyosaidia uzazi salama Sierra Leone
Kutoka damu, maambukizi, kuavya mimba kiholela ni sababu za ongezeko la vifo
11 years ago
BBCSwahili17 Feb
11 years ago
Tanzania Daima18 Jun
‘Ndege haziendeshwi na rubani mmoja’
SERIKALI imetoa ufafanuzi kuwa sio ndege zote zinazoruka ndani ya nchi huendeshwa na rubani mmoja. Imesema ndege kubwa za abiria zinazotoa huduma ya usafiri kwa ratiba ndani ya nchi, lazima...
10 years ago
BBCSwahili27 Mar
Nyumba ya rubani wa ndege yachunguzwa
Polisi wa Ujerumani wamegundua kile wanachosema kitawasaidia kubaini kiini cha rubani msaidizi Andreas Lubitz, kuangusha ndege
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UQSvRDwuxJKzFfuTxNZFfxaYBUzzf-KDnsmotJ6E4jjOIGPQ9VfHsXay0ua4JPWKPf*ZpgR2PrERkJwHsT9wCOeovMXVgrdR/destrocos_germanwings_640x360_reuters_nocredit.jpg?width=650)
NYUMBA YA RUBANI WA NDEGE YA GERMANWINGS YACHUNGUZWA
Mabaki ya ndege ya Ujerumani ilioanguka na kuwaua watu 150 Chumba cha rubani wa ndege. Baada ya kufanya msako katika nyumba yake. Polisi nchini Ujerumani wamegundua kile wanachosema kitawasaidia katika kubaini kiini cha rubani msaidizi Andreas Lubitz, kuangusha ndege na kuwauwa abiria wote 150. Polisi hawajatoa taarifa zaidi kuhusiana na…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania