Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


New Music: Ali Kiba — Chekecha Cheketua

Wimbo mpya kutoka kwa Ali Kiba wimbo unaitwa “Chekecha Cheketua” Studio Cheidaz Record

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Africanjam.Com

VIDEO: CHEKECHA CHEKETUA - ALI KIBA (NEW)





Africanjam is website that came into service December 2013(with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Technology tips and some Amazing Facts. We also provide Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...

 

10 years ago

Africanjam.Com

VIDEO YA ALI KIBA "CHEKECHA CHEKETUA" KUZINDULIWA TRACE TV YA UFARANSA

Ali Kiba  ni staa mwingine mkali wa muda mrefu kwenye Bongo Fleva… Hit ya Chekecha Cheketua ni moja ya single ambazo mtaani wanaisubiri video yake kwa hamu sana.Sasa good news ninayotaka kukusogea ni kwamba video hiyo mpya iliyotayarishwa Afrika Kusini inatarajiwa  kutambulishwa kesho June 29 kama ‘Exclusive’ kupitia kituo cha TVcha ufaransa maarufu kama Trace TV  kinachoonekana Africa kwa huduma ya kulipia kikiwa na nafasi yake kwenye upande wa burudani hususani muziki wa kizazi cha...

 

10 years ago

GPL

MWANA DAR LIVE ATAKAYEFUNIKA CHEKECHA CHEKETUA KUZAWADIWA

Andrew Carlos/Risasi
IKIWA imebaki wiki na siku kadhaa kufika Aprili 5, mwaka huu (Sikukuu ya Pasaka) ambapo ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem, jijini Dar kutakuwa na bonge moja la shoo kutoka kwa Ali Kiba ‘Mwana Dar Live’ kizuri ni kwamba atakayefunika kwa kucheza Wimbo wa Chekecha Cheketua kuzawadiwa. Ali kiba. Akizungumza na Mikito Nusunusu, mratibu wa burudani katika ukumbi...

 

10 years ago

GPL

MWANA DAR LIVE KUTAMBULISHA STAILI YA CHEKECHA CHEKETUA

GOOD News ni kwamba, mfalme wa muziki wa Bongo Fleva, Ali Kiba ‘Mwana Dar Live’ ameshafuta kiti chake na Aprili 5, mwaka huu (Sikukuu ya Pasaka) ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem, jijini Dar anatarajiwa kutambulisha staili yake mpya ya Chekecha Cheketua. Mkali wa Bongo fleva, Alikiba. Staili hiyo atakayoitambulisha Mwana Dar Live imetokana na wimbo wake mpya unaobamba kila kona wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani