New Music: M.I Abaga — King James
Ita rappers wote wa Nigeria waulize nani wanamuogopa zaidi na hakuna ubishi kuwa jina la M.I. litatajwa zaidi. Na sasa rapper huyo mwanzilishi wa label ya Chocolate City amerejea na ngoma mpya ‘King James’. Isikilize hapa.
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo523 Oct
Music: King Poza Ft Sultan King — Nampenda
Msanii King Pozza toka Zanzibar ameachia wimbo mpya unaitwa “Nampenda” amemshirikisha Sultan King Producer Aloneym. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Bongo528 Sep
Music: Soundtrack ya filamu mpya ya James Bond iliyoimbwa na Sam Smith — ‘Writing’s On The Wall’
Soundtrack ya filamu mpya ya James Bond ‘Spectre’ imetoka. Ni wimbo ulioimbwa na Muingereza, Sam Smith – “Writing’s On the Wall”. Smith ameingia kwenye orodha ya wanamuziki waliowahi kutumika katika kutengeneza soundtrack kwenye filamu zilizopita za James Bond. Wengine ni Adele, Tina Turner, Paul McCartney, na Shirley Bassey. Spectre inatarajiwa kuanza kuoneshwa kwenye majukmba ya […]
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/rcJLElASTsk/default.jpg)
9 years ago
Bongo507 Sep
Video: Chidinma feat. M.I Abaga — Lorry
Siku chache baada ya mwimbaji wa kike kutoka Nigeria, Chidinma kuachia single yake mpya aliyomshirikisha M.I Abaga – Lorry, sasa ameachia video ya wimbo huo iliyoongozwa na Clarence Peters. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali […]
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Fs23M4C5lLs/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/PxVWckPZX0A/default.jpg)
SAUDI ARABIA WAMZIKA KING WAO ''KING ADBULLAH''
Obama Receives Gold Necklace From Saudi King Abdullah
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2015/01/23/24F5991B00000578-2922592-The_late_Saudi_king_pictured_here_with_President_Obama_in_2010_h-a-72_1422026323573.jpg)
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2015/01/23/24FBDB1200000578-2922592-Saudi_King_Abdullah_was_buried_in_an_unmarked_grave_in_Riyadh_fo-m-90_1422029981493.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania