NG'OMBE MWENYE MIDOMO MIWILI AZALIWA ARUSHA
![](https://1.bp.blogspot.com/-Ej764VS9XcU/XlZVN421hYI/AAAAAAALfiE/teud7TBSQ5EegcZ81AHnRcloXKhKfE4fgCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200223_130407.jpg)
Na Woinde Shizza ArushaSERIKALI kupitia kwa mkurugenzi wa huduma za mifugo Tanzania Prof.Herzon Nonga imetoa ufafanuzi wa kitaalamu juu ya Ng’ombealiezaliwa na midomo miwili pamoja na macho matatu na kubainishakuwa tukio hilo ni lakawaida kwani kutokea ambapo katika ndama elfu2000 wanaozaliwa kunaweza kukawa na mnyama mwenye ulemavu wa viongo mmoja au kutokuwepo kabisa
Hayo yameelezwa na mkurugenzi wa huduma za mifugo Tanzania Prof.Herzon Nonga wakati akiongea na gazeti hili jana...
Michuzi