Ngwe ya kwanza Kili Tour yafungwa kwa kishindo Iringa
NGWE ya kwanza ya ziara ya kimuziki inayodhaminiwa na kampuni ya Bia Tanzania (TBL), chini ya udhamini wa bia ya Kilimanjaro, imeisha kwa kishindo mkoani Iringa mwishoni mwa wiki ambako...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima21 Jun
Kili Music Tour ndani ya Iringa kesho
BAADA ya kutikisa mjini Songea mkoani Ruvuma, tamasha la Kili Music Tour sasa linahamia Mkoa wa Iringa huku mashabiki wakiwa wamepania burudani hiyo. Tayari promosheni mbalimbali zimeanza katika mji wa...
10 years ago
Dewji Blog06 Aug
Dkt.Magufuli achukua fomu za urais kwa kishindo, barabara ya Lumumba yafungwa, wafuasi wa CCM kila kona

MGOMBEA kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Chama Cha Mapinduzi, CCM, John Pombe Magufuli, jana Jumanne Agosti 4, 2015, amechukua fomu za uteuzi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC, tayari kwa mchakato wa kutafuta wadhamini 200 ambao ni raia wa Tanzania wenye shahada za kupigia kura. Magufuli ambaye alifuatana nna mgombea mwenza wake, Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdulrahman Kinana, na viongozi na wafuasi wa CCM, alkiambiwa na maafisa wa tume hiyo...
11 years ago
Dewji Blog13 Oct
Kinana ahitimisha ziara kwa kishindo Iringa
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akihutubia huku mkono wake ukiwa umefungwa POP, katika mkutano wa hadhara katika viwanja vya Mwembetogwa, mjini Iringa jana kuhitimisha ziara ya siku sita mkoani Iringa ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutubia katika mkutano na wa hadhara katika viwanja vya Mwembetogwa, mjini Iringa leo wa...
11 years ago
GPLKINANA AHITIMISHA ZIARA KWA KISHINDO IRINGA
10 years ago
GPL
MAGUFULI AIMALIZA IRINGA, AIANZA DODOMA KWA KISHINDO
11 years ago
TheCitizen30 May
Kili tour kicks off with a bang in Moshi
11 years ago
Tanzania Daima30 May
Kili Music Tour Mwanza kumekucha
BAADA ya Kilimanjaro Music Tour kuonesha mafanikio makubwa mjini Moshi Jumamosi iliyopita, sasa masikio na macho yanaelekea Mwanza ambako shoo ya aina yake itafanyika kwenye Uwanja wa Kirumba, kesho. Tayari...
11 years ago
Tanzania Daima26 May
Moshi yafunika Kili Music Tour
TAMASHA la kwanza linalohusisha ziara ya wanamuziki zaidi ya 10 linalodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, limeanza kwa kishindo mwishoni mwa wiki ambako zaidi ya wakazi 10,000 walihudhuria na...
11 years ago
Michuzi.jpg)
kili music tour yatikisa mji wa kahama
.jpg)
.jpg)