Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘NHC haina uwezo kukopesha wanunuzi wa nyumba zake’

 Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela KairukiSERIKALI imesema Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kwa sasa halina uwezo wa kukopesha wanunuzi wa nyumba zake kwa kuwakata mishahara yao moja kwa moja ili walipe kwa kipindi cha muda mrefu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) LAZINDUA MAUZO YA NYUMBA ZAKE ZA VICTORIA PLACE, DAR‏

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akifanyamahojiano na Ephraim Kibonde wa Kipindi cha Maisha ni Nyumba cha Shirikala Nyumba la Taifa (NHC) kwenye uzinduzi wa nyumba za makazi za Victoria jana jioni kwenye hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria kwenye uzinduzi wa nyumba za makazi zaVictoria jana jioni kwenye hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam. Nyumba hizo za makazi zitaanza kuuzwa rasmi Jumatatu.

 

10 years ago

GPL

SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) LAZINDUA MAUZO YA NYUMBA ZAKE ZA VICTORIA PLACE, DAR‏

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akifanyamahojiano na Ephraim Kibonde wa Kipindi cha Maisha ni Nyumba cha Shirikala Nyumba la Taifa (NHC) kwenye uzinduzi wa nyumba za makazi za Victoria jana jioni kwenye hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria kwenye uzinduzi wa nyumba za makazi za…
...

 

9 years ago

Michuzi

NHC YAZINDUA UUZAJI WA NYUMBA ZA BIASHARA NA MAKAZI ZA MOROCCO SQUARE,WAZIRI KIRUKI AIPONGEZA NHC KWA UFANISI

Na Francis DandeNAIBU Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Kairuki, amelipongeza Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kwa mpango wake wa kujenga nyumba bora na kuwauzia wananchi kwa ajili ya  makazi na biashara.
Waziri Kairuki aliyasema  hayo juzi  jijini Dar es Salaam alipokuwa akizindua  mauzo ya nyumba  za biashara  na makazi zilizojengwa eneo la Morocco Square,  Kinondoni,  jijini Dar es Salaam.
Aliwapongeza Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu na wenzake kwa  kazi nzuri...

 

11 years ago

Mwananchi

SMZ haina uwezo kifedha-Nahodha

>Waziri Kiongozi mstaafu Shamsi Vuai Nahodha amesema mfumo wa Muungano wa Serikali tatu unaweza kutetemesha misingi yake na kusababisha kuvunjika, kwa vile Zanzibar haina uwezo wa kirasilimali kuchangia uendeshaji wake.

 

9 years ago

Dewji Blog

Shirika la Nyumba NHC lazindua uuzaji wa nyumba za mradi wa 711 Kawe

k1

Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba NHC Bw. Nehemia Mchechu Kyando akizungumza na wageni waalikwa wakati wa hafla ya uzinduzi wa uuzaji wa nyumba za mradi wa 711 uliopo Kawe jijini Dar es salaam, Nyumba hizi ziko kwenye majengo 7 yenye ghorofa 11 kila moja ambayo yanatarajiwa kuchukua watu 1000 kwa na huu ni utangulizi wa ujenzi wa mji mpya wa kisasa unaotarajiwa kujengwa eneo la Tanganyika Pakers Kawe jijini Dar es salaam ambao ukikamilika utaweza kuchukua watu 15000.

Watu wanaohitaji kununua...

 

11 years ago

Michuzi

Shirika la Nyumba NHC leo limesaini mkataba wa ujenzi wa nyumba 5,000 na Halmashauri ya Wilaya Mpya ya Busokelo

Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)  leo limesaini mkataba na Halmashauri ya Wilaya Mpya ya Busokela iliyopo Mkoani Mbeya ya Ujenzi wa Nyumba 5,000 za gharama nafuu. Utiaji saini makubaliano hayo umefanyika leo mchana katika Hoteli ya New Dodoma mjini Dodoma na kuhudhuriwa na Wabunge wanaotoka Mkoa wa Mbeya wakiongozwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum)  Mhe.Prof Mark Mwandosya, ambaye Wilaya hiyo Mpya iko katika Jimbo lake la Rungwe Mashariki,  na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI AWEKA JIWE LA MSINGI NYUMBA 50 ZA GHARAMA NAFUU ZA NHC MJINI KAHAMA

New Picture (7)Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh.William Vangimembe Lukuvi akikata utepe kuzindua ujenzi wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na NHC Mjini Kahama. Kulia kwake ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Bw. Felix MaagiNew Picture (2)Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Vangimembe Lukuvi(aliyevaa miwani) akiweka jiwe la msingi katika nyumba zilizojengwa na NHC Wilayani Kahama mkoani Shinyanga.1Hizi ni miongoni mwa nyumba 50 za gharama nafuu zilizojengwa na NHC katika mtaa wa...

 

10 years ago

GPL

WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI AWEKA JIWE LA MSINGI NYUMBA 50 ZA GHARAMA NAFUU ZA NHC MJINI KAHAMA‏

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh.William Vangimembe Lukuvi akikata utepe kuzindua ujenzi wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na NHC Mjini Kahama. Kulia kwake ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Bw. Felix Maagi. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Vangimembe Lukuvi(aliyevaa miwani) akiweka jiwe la msingi katika nyumba zilizojengwa na NHC Wilayani… ...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA ARDHI,NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI, ANGELA KAIRUKI ATEMBELEA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) MKOA WA KILIMANJARO

Ofisi za Shirika la Nyumba la Taifa mkoani Kilimanjaro. Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi akizungumza na wafanyakazi wa shirika laArdhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Angela Kairuki,kulia kwake ni Meneja wa NHC mkoa wa Kilimanjaro Sheakh Kombo,Baadhi ya wafanyakazi wa NHC mkoa wa Kilimanjaro.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 


 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani