NHIF YAOMBWA KWENDA NCHI NZIMA'>NHIF YAOMBWA KWENDA NCHI NZIMA
![](http://2.bp.blogspot.com/-NZ1KQCfkZso/VdSN_cn0bfI/AAAAAAAHyM8/cSEzF6wzXwg/s72-c/1.jpg)
Maofisa wa Serikali kutoka Wizara, Idara na Taasisi mbalimbali za Serikali wakiwa kwenye foleni ya kupima afya zao kwenye banda la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya katika Mkutano Mkuu wa Kwanza wa Serikali Mtandao mjini Arusha.
Huduma za kupima shinikizo la damu zikiendelea.
Dawati la elimu kwa Umma likiwa kazini
Na Grace Michael, ArushaMFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya umeombwa kutekeleza zoezi la upimaji wa afya za wananchi katika Halmashauri zote nchini ikiwa ni pamoja na utoaji wa elimu ya namna...
Vijimambo