Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NHIF yazindua awamu ya pili ya Kampeni ya uhamasishaji Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF)

1

Mkuu wa wilaya ya Kilwa mkoani Lindi Mh. Abdallah Ulega akipokea mashuka 150 kutoka kwa Rehani Athumani Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti Mfuko wa Bima ya Afya ya jamii CHF yaliyotolewa na mfuko huo kwa wilaya ya Kilwa wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Uhamasishaji wananchi kujiunga na mfuko wa Bima ya Taifa ya Afya NHIF uliofanyika katika kijiji cha Njia Nne Kata ya Tingi, Katikati ni Meneja wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa mkoani Lindi Bi Fortunata Raymond.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Ulega azindua awamu ya pili ya Kampeni ya uhamasishaji ya Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) Wilayani Kilwa leo

Mkuu wa wilaya ya Kilwa, Abdala Ulega amewakata watendaji na watoa huduma wilayani humo kuhakikisha huduma muhimu za matibabu hasa dawa zinapatina muda wote ili kuboresha huduma wilayani hapo.
Ulega ameyasema hayo wakati wa uzinduzi wa awamu ya pili ya kampeni ya uhamasiahaji wananchi kujiunga na mfuko wa afya ya jamii (CHF) inafanywa na Mfuko wa taifa wa bima ya afya katika halmashauri kumi nchi nzima iliyozinduliwa kata ya Tingi njia nne wilayani kilwa.
Ulega amesema Serikali kupitia mfuko...

 

9 years ago

Michuzi

RC MAHIZA AITAKA NHIF KUTOA ELIMU ZAIDI KWA WANANCHI JUU YA UMUHIMU WA KUJIUNGA NA MFUKO WA AFYA YA JAMII (CHF)

NA MWANDISHI WETU,TANGA.
MKUU WA Mkoa wa Tanga,Mwantumu Mahiza ameutaka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) mkoani hapa kuendelea kutoa elimu juu ya umuhimu wa wananchi kujiunga na mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) ili kuweza kuongeza wigo mpana wa wanachama ambao wataweza kunufaika na huduma zao.
Alitoa wito huo jana wakati akipokea mashuka 150 yaliyotolewa na mfuko huo vyenye thamani ya shilingi milioni tatu yaliyotolewa na Mfuko huo kwa ajili ya vituo vitatu vya afya vya Mkinga, Maramba na...

 

10 years ago

Dewji Blog

NHIF wazindua kampeni ya mfuko wa afya ya jamii vijiji vya Nzega

NHIF

Mkuu wa wilaya ya Nzega Bituni Msangi akipokea msaada wa shuka kwa ajili ya wagonjwa wa Zahanati ya kijiji cha Ubinga zilizotolewa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kuhamasisha wananchi kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii CHF ambapo Afisa Matekelezo wa mfuko huo Sunday Matoi alikabidhi msaada huo kwa mkuu wa wilaya ya Nzega kabla ya kufanya ufunguzi wa majengo mapya ya zahanati ya Ubinga.

NHIF.3

 

10 years ago

Tanzania Daima

NHIF kuendesha kampeni jamii kujiunga CHF

MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unatarajia kuendesha kampeni ya siku 60 nchini kuhamasisha jamii kujiunga na huduma za mfuko wa Afya ya Jamii (CHF/Tika). Kampeni hiyo ambayo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wakazi wilaya ya Kakonko watakiwa kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii CHF-Kigoma

Katibu tawala wilaya ya Kakonko Bi.Zainab Mbunda akifungua Mkutano wa wadau wa Mfuko wa Taifa wa Afya ya Jamii CHF uliofanyika katika Ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma ambapo alisisitiza umuhimu wa wananchi kujiunga na Mfuko huo wa hiari ambao unawawezesha kupata huduma za matibabu kwa muda wa mwaka mzima baada ya kujiunga na kuchangia kiasi cha shilingi elfu kumi. Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Kakonko Bi.Jaina Msangi akizungumza namna ambavyo Halmashauri...

 

11 years ago

Michuzi

RC RUVUMA AWATAKA VIONGOZI KAMATI YA FEDHA ,UCHUMI NA MIPANGO NYASA KUHAMASISHA WANANCHI KUJIUNGA NA MFUKO WA AFYA YA JAMII (CHF )

mafunzo juu  sheria ndogo ya mfuko  wa afya  ya  jamii (CHF) ktk Halmashauri  hiyo  mpya  Viongozi  wa Halmashauri ya Nyasa  mkoani  Ruvuma  wakiwa katika  mafunzo  Viongozi  wa  Halmashauri ya  Nyasa mkoani Ruvuma  wakiwa  katika  picha ya  pamoja na  watumishi wa mfuko  wa Taifa wa  bima ya Afya  (CHIF) ambao  walitembelea  Halmashauri  hiyo  kutoa mafunzo juu  sheria ndogo ya mfuko  wa afya  ya  jamii (CHF) ktk Halmashauri  hiyo  mpya

 mkuu wa mkoa wa Ruvuma  Said...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani