Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ni vita ya Barcelona na Bayern Munich

Kocha Pep Guardiola anarejea Nou Camp kuiongoza Bayern dhidi ya Timu yake ya zamani Barcelona kwenye Nusu Fainali ya Uefa champions ligi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBC

Bayern Munich 3-2 Barcelona (agg 3-5)

Morocco's Mehdi Benatia scores for Bayern but cannot prevent Barcelona from reaching the Champions League final.

 

10 years ago

Vijimambo

BARCELONA YAITANDIKA BAYERN MUNICH 3-0

Mlinda mlango wa Bayern Munich, Manuel Neuer akijaribu bila mafanikio kuuzia mpira uliopigwa na mshambuliaji mahiri wa FC Barcelona, Lionel Messi uliokwenda moja kwa moja nyavuni huku mabeki wake wakiwa hawana la kufanya.Mshambuliaji wa FC Barcelona, Neymar akiifungia timu yake bao la tatu nala ushindi huku mlinda mlango wa Bayern Munich, Manuel Neuer akiwa hana ujanja. Wakicheza katika uwanja wao wa nyumbani wa Nou Camp, FC Barcelona wamewatandika wageni wao Bayern Munich jumla ya mabao 3-0...

 

10 years ago

BBCSwahili

Droo:Barcelona kuchuana na Bayern Munich

Klabu ya Barcelona Itakutana na mabingwa wa kombe la kilabu bingwa Ulaya Bayern Munich katika nusu fainali ya kwanza ya kombe hilo.

 

10 years ago

KwanzaJamii

BAYERN MUNICH YASHINDA, BARCELONA YATANDIKWA UEFA

Kitimtim cha klabu bingwa barani Ulaya kiliendelea tena usiku wa kuamkia leo huku zikishuhudiwa nyasi za viwanja kadhaa zikiwaka moto kuruhusu wababe wa soka kutoka nchi mbalimbali wakizitafuta point tatu muhimu. Nchini Ufaransa wenyeji Paris St Germany (PSG), waliikaribisha timu ya Barcelona, hadi mwisho wa mchezo huo wenyeji PSG wakaibuka washindi kwa jumla ya mabao 3-2. Nchini Urusi wenyeji CSKA MOSCOW wameangukia pua baada ya kufungwa goli 1-0 na wababe wa soka wa Ujerumani Bayern...

 

10 years ago

GPL

BAYERN MUNICH, BARCELONA ZATINGA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA

Wachezaji wa Bayern Munich wakishangilia ushindi wao dhidi FC Porto jana. Neymar (juu) akishangilia na Mbrazil mwenzake Dani Alves baada ya kufunga bao la pili jana. Robert Lewandowski akiifungia Bayern bao la tatu dakika ya 27.…

 

10 years ago

GPL

BAYERN MUNICH KUKWAANA NA BARCELONA KATIKA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA LEO

MECHI:     Bayern Munich vs Barcelona LIGI:         Ligi ya Mabingwa Ulaya HATUA:    Nusu Fainali MUDA:     Saa 3:45 usiku UWANJA: Allianz Arena

 

11 years ago

BBCSwahili

Manchester 1-1 Bayern Munich

Man Untd ilihimili gonga gonga ya Bayern Munich na kutoka sare ya1-1 katika robo fainali ya ligi ya mabingwa.

 

10 years ago

BBC

FC Augsburg 0-4 Bayern Munich

Morocco's Mehdi Benatia scores as Bayern Munich beat Augsburg to go 10 points clear at the top of the Bundesliga.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani