Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Niliamua kumshirikisha Mwana FA sababu anafahamu kuwanyambua mabinti vizuri sana — Izzo Bizness

Izzo na FA

Izzo Bizness anayeliwakilisha jiji la Mbeya ametaja sababu iliyomfanya amchague Mwana FA kumshirikisha kwenye wimbo wake mpya ‘Shem Lake’

Izzo na FA

“Unajua niliamua kumshirikisha Mwana FA sababu jamaa anafahamu kuwaelezea wanawake na mabinti vizuri sana katika nyimbo mbalimbali,” amesema Izzo Bizness kupitia Planet Bongo ya East Africa Radio. “yaani huwa anawanyambua vizuri sana na kama unavyofahamu katika wimbo huu sisi tumejivika kama ushemeji njaa tunamtamani shemeji yetu na nini, hivyo ilibidi...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Izzo Bizness awashirikisha Mwana FA na G-Nako

Rapper Izzo Bizness amesema anajipanga kuachia kazi yake mpya aliyowashirikisha Mwana FA pamoja na G-Nako. Izzo ameiambia Story Tatu ya Planet Bongo ya East Africa Radio kuwa anajisikia faraja kufanya kazi na rapper kama FA ambaye amekuwa akifanya vizuri kwenye muziki wake kwa nyakati tofauti. “Ngoma yangu mpya nimewashirikisha G-Nako pamoja na Mwana FA na […]

 

9 years ago

Bongo5

New Music: Izzo Bizness f/ Mwana FA & G-Nako – Shem Lake

Rapper Izzo Bizness ameachia ngoma yake mpya aliyowashirikisha Mwana FA na G-Nako, ‘Shem Lake.’ Idownload hapo chini. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Video: Izzo Bizness Ft Mwana FA & G-Nako – Shem Lake

cats

Rapper kutoka Mbeya City Izzo Bizness ameachia video yake mpya ya wimbo “Shem Lake”, amewashirikisha Mwana FA na G-Nako, Video imeongozwa na Khalfani Khalmandro.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

MillardAyo

Mzigo wa ‘Shem Lake’ huu hapa kutoka kwa Izzo Bizness, Feat. Mwana FA & G Nako.. (+Video)

Rapper anayewakilisha Green City a.k.a Mbeya City kathibitisha kwamba anahitaji watu wake wapate zawadi ya video nzuri kabla haijafikia December 25 2015 ambayo ndio siku ya birthday yake. Jina lake kwenye stage ya muziki anafahamika kama Izzo Bizness, wiki chache zilizopita aliachia ngoma kali ambayo imeteka kwa nguvu airtime kwenye radio stations ambapo ngoma hiyo […]

The post Mzigo wa ‘Shem Lake’ huu hapa kutoka kwa Izzo Bizness, Feat. Mwana FA & G Nako.. (+Video) appeared first on...

 

10 years ago

GPL

IZZO BIZNESS ATEMBELEA GLOBAL TV ONLINE LEO

Msanii wa muziki wa Hip Hop nchini Tanzania,  Izzo Bizness akipozi katika studio za Global TV Online.  Izzo Bizness akiwa kwenye pozi baada ya kufanya mahojiano.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani