Nimezawadiwa Kitabu: "Picturing Hemingway's Michigan"
![](http://3.bp.blogspot.com/-Ue5In_t6OGU/U-1RtYjPcRI/AAAAAAAAJZo/DVPG-vAbzEs/s72-c/51VU6eCUKkL%5B1%5D.jpg)
Na Profesa Mbele
Leo nimepata zawadi ya kitabu, Picturing Hemingway's Michigankilichotungwa na Michael R. Federspiel. Kinahusu sehemu ya kaskazini ya jimbo la Michigan, ambapo familia ya Ernest Hemingway ilikuwa inakwenda kwa mapumziko.
Kitabu kina picha na maelezo kuhusu sehemu hiyo, ambapo Hemingway alitembelea tena na tena wakati wa utoto na ujana wake. Hapa ni chimbuko la matukio ya riwaya ya mwanzo ya Hemingway,The Torrents of Spring na hadithi zake ziitwazo Nick Adams Stories.
Michuzi
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania