Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nina mtihani mkubwa wa kuipiku Imebaki Story — Hemedy PHD

Hemedy PHD amewataka mashabiki wa muziki wake kukaa mkao wa kula kwa ujio wa kazi yake mpya iitwayo Some Day aliyomshirikisha Mr Blue. Hata hivyo amedai kuwa ana kazi kubwa kuweza kuupiku wimbo wake uliopita. Hemedy ambaye kwa sasa anatamba na video ya wimbo, Imebaki Story, ameiambia E-Newz ya EATV kuwa anajipanga kufanya kitu kikubwa […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Africanjam.Com

NEW VIDEO: IMEBAKI STORY - HEMEDY PHD







Africanjam is website that came into service December 2013(with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Technology tips and some Amazing Facts. We also provide Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...

 

10 years ago

Africanjam.Com

NEW MUSIC: IMEBAKI STORY - HEMEDY PHD (DOWNLOAD)




Africanjam is website that came into service December 2013(with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Technology tips and some Amazing Facts. We also provide Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...

 

10 years ago

Bongo5

Usichokifahamu kuhusiana na jinsi video ya ‘Imebaki Story’ ya Hemedy PHD ilivyotengenezwa

Umeitazama video ya wimbo mpya wa Hemedy PHD? Wimbo wake ‘Imebaki Story’ ni nzuri sana na kinachofurahisha zaidi imefanywa na waongozaji wa video wa Tanzania. Video hii imefanywa na kampuni ya Kwetu Studios na kuhaririwa na muongozaji mkongwe wa video, Adam Juma. Ukitaka kuuonesha uzuri wa Tanzania kwa mataifa ya nje, sidhani kama maghorofa au […]

 

9 years ago

Bongo5

Music: Hemedy PHD — Memories

Msanii Hemedy PHD baada ya kufanya vizuri na wimbo “Imebaki Story” amechia wimbo mpya unaitwa “Memories” usikilize hapa. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

New Music: Hemedy PHD F/ Mr Blue – Someday

20151204042756

Hemedy PHD ameachia ngoma yake mpya aliyomshirikisha Mr Blue. Ngoma inaitwa Someday. Kwenye wimbo huu Hemedy anamuimbia msichana ambaye haoneshi kumpa heshima anayostahili na kumchukulia pia.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Hemedy PHD Ft. Bela Combo — Far Away

Hemedy PHD amechia wimbo mpya amemshirikisha Mwanadada Bela Combo wimbo unaitwa “Far Away” Studio Sei Records Video teyali wamesha Shoot itatoka hivi karibu amefanya na Kwetu Studio Hemedy ameiambia Bongo5

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani