Nisher na Vanessa Mdee wasifia uthubutu anaofanya Hemedy PHD
Hemedy PHD si msanii unayemsikia sana kwenye redio japo ni miongoni mwa waimbaji wazuri wa R&B, lakini kitu kimoja ambacho hupaswi kumnyima ni namna anavyojipanga kwenye video zake. Hemedy akiwa kwenye location ya video yake Umebaki Story iliyofanyika kwenye mikoa minne nchini na kugharimu takriban shilingi milioni 15 Vanessa Mdee na Nisher wamemmwagia sifa staa […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo508 Oct
Music: Hemedy PHD — Memories
9 years ago
Bongo504 Dec
New Music: Hemedy PHD F/ Mr Blue – Someday
![20151204042756](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/20151204042756-300x194.jpg)
Hemedy PHD ameachia ngoma yake mpya aliyomshirikisha Mr Blue. Ngoma inaitwa Someday. Kwenye wimbo huu Hemedy anamuimbia msichana ambaye haoneshi kumpa heshima anayostahili na kumchukulia pia.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Africanjam.Com![](http://2.bp.blogspot.com/-iE3ISySjD2M/Vh5r0PBYWyI/AAAAAAAADts/ukbn9l4Yk90/s72-c/artist_7677f3d5b3b2763e8f794d3eb31a9b58586b.jpg)
NEW MUSIC: HEMEDY PHD - MEMORIES (Download)
![](http://2.bp.blogspot.com/-iE3ISySjD2M/Vh5r0PBYWyI/AAAAAAAADts/ukbn9l4Yk90/s640/artist_7677f3d5b3b2763e8f794d3eb31a9b58586b.jpg)
Africanjam is website that came into service December 2013(with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Technology tips and some Amazing Facts. We also provide Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...
10 years ago
Africanjam.ComNEW VIDEO: IMEBAKI STORY - HEMEDY PHD
Africanjam is website that came into service December 2013(with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Technology tips and some Amazing Facts. We also provide Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...
9 years ago
Bongo Movies05 Oct
Hemedy PHD Ana Pointi Hapa
Hemed Suleiman ‘Phd’ ametoa rai kwa masanii wengazke kutoa elimu juu ya upigaji kura katika Uchaguzi Mkuu wa badaye mwezi huu badala ya wenyewe kuwa mashabiki wa vyama.
Pamekuwa na wimbi kubwa la wasanii tukumika kisiasa katika kipindi hiki cha kampeni kwa kinachodaiwa kuwa malipo makubwa hasa kutoka CCM.
Lakini badala ya kupanda kwenye majukwaa na kupigia kampeni upande mmoja katika uchaguzi huo, Phd ametaka watoe elimu ya upigaji kura.
Alisema asilimia kubwa ya wapiga kura mwaka huu...
10 years ago
Bongo503 Sep
New Music: Hemedy PHD Ft. Bela Combo — Far Away
10 years ago
Bongo Movies24 Jun
Hemedy PHD Akerwa na Uadui Kwenye Sanaa
Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Hemmed Suleiman ‘Hemedy PHD’ambaye hivi karibuni atatamba mtaani na filamu ya Fecebook Profile ameweka waz juu ya kukerwa na namna ushabiki wa sanaa nchini unavyopelekwa kwenye uadui na sio ushindani kam ilivyokuwa miaka michache iliyopita.
“Kiukweli kwenye sanaa tumeanza kwenda kwenye njia mbaya sana,aina hii ya ushabiki wa mtindo wa uadui itatupeleka pabaya sana..Mashabiki wa Ali Kiba , Wema sepetu na Diamond wanapaswa kuliona mapema tatizo hili,”...