Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Njombe kinara wa Ukimwi

Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani kitaifa yanafanyika leo katika Mkoa wa Njombe unaoongoza kwa maambukizi ya virusi kwa asilimia 14.8.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

RC ataka kuiongoza Njombe isiyo na Ukimwi

MKUU wa Mkoa wa Njombe, Dk Rehema Nchimbi amewaambia wananchi wa mkoa huo kwamba anataka kufanya nao kazi wakiwa hawana maambukizi ya virusi vya Ukimwi (VVU).

 

10 years ago

CloudsFM

NJOMBE KUWA MWENYEJI KITAIFA, SIKU YA UKIMWI DUNIANI

UKIWA unaendelea kuongoza kitaifa kwa kuwa na kasi kubwa ya maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU), mkoa wa Njombe utakuwa mwenyeji kitaifa wa maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani, ambayo hufanyika Desemba 1, kila mwaka.
Tume ya Kudhibiti Ukimwi (Tacaids), imesema kauli mbiu ya maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani mwaka huu imelenga kutoa msukumo wa utekelezaji wa mikakati ya kudhibiti Ukimwi.

Mwenyekiti Mtendaji wa Tacaids, Dk. Fatma Mrisho, alisema kauli mbiu hiyo pia inalenga kudhibiti...

 

10 years ago

Dewji Blog

Siku ya Ukimwi Duniani Kitaifa kufanyika mkoani Njombe

tacaids - 1

Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Taifa ya kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) , Dkt. Fatma Mrisho akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maadhimisho ya Siku ya Ukimwi duniani yatakayofanyika kitaifa mkoani Njombe kuanzia Novemba 24, 2014 na kufikia kilele chake Desemba 1, 2014.

Na Beatrice Lyimo na Aron Msigwa- MAELEZO

Maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani kwa mwaka 2014 kitaifa yanatarajiwa kufanyika mkoani Njombe kuanzia tarehe 24 mwezi huu hadi tarehe  moja  Desemba.

Hayo yamesemwa leo...

 

10 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI KUFANYIKA KITAIFA MKOANI NJOMBE.

 Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Taifa ya kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) , Dkt. Fatma Mrisho akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu Kauli Mbiu ya Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani isemayo, Tanzania Bila Maambukizi Mapya ya VVU, Vifo vitokanavyo na Ukimwi na Ubaguzi na Unyanyapaa inawezekana inayolenga kupunguza maambukizi Mapya ya Ukimwi, kupunguza vifo vitokanavyo na Ukimwi na kukomesha vitendo vya unyanyapaa kwa asilimia Sifuri. Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Taifa ya...

 

10 years ago

GPL

SIKU YA UKIMWI DUNIANI; MKOA WA NJOMBE BADO UNAONGOZA KWA MAAMBUKIZI

Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Dkt. Fatma Mrisho akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari kuhusu Kauli Mbiu ya Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani isemayo, Tanzania Bila Maambukizi Mapya ya VVU, Vifo Vitokanavyo na Ukimwi na Ubaguzi na Unyanyapaa inawezekana inayolenga kupunguza maambukizi Mapya ya Ukimwi, kupunguza vifo vitokanavyo na Ukimwi na kukomesha vitendo vya unyanyapaa kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI, KITAIFA MKOANI NJOMBE

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Mkuu wa mkoa wa Njombe, Dkt. Rehema Nchimbi, kwa pamoja wakisimama kupokea maandamano wakati wa sherehe za Maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani iliyofanyika leo Desemba 1, 2014 Kitaifa kwenye Uwanja wa Sabasaba Mkoani Njombe  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia katika sherehe za maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani zilizofanyika Kitaifa katika Uwanja wa...

 

9 years ago

Vijimambo

MAGUFULI ALIVYOPOKELEWA NDANI YA WILAYA YA NJOMBE MKOANI NJOMBE.

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa Ludewa mjini kabla ya kuanza kuwahutubia ,kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika mjini humo na kuhudhriwa na maelfu ya watu.Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Ludewa waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika mjini humo.

Mgombea Ubunge wa jimbo...

 

10 years ago

Mwananchi

TZ kinara saratani ya shingo ya uzazi

Daktari anayetibu maradhi ya saratani katika Hospitali ya Ocean Road, Dominista Kombe alisema jana mjini hapa kuwa Tanzania inaongoza kwa kuwa na wagonjwa wengi wenye saratani ya shingo ya kizazi kwa nchi zote za Afrika.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tanzania kinara mimba za utotoni

LICHA ya jitihada za Serikali na wadau wengine wa mitandao ya kijinsia kutoa elimu kwa jamii juu ya athari za mimba za utotoni, Tanzania bado imeendelea kuwa kinara katika tatizo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani