Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NORA AELEZWA ALIVYOTESWA NA PICHA ZA UTUPU

Makala: Gladness Mallya
Tunaendelea kupata mtiririko wa mahojiano ya mwingizaji Nuru Nasoro ‘Nora’ tuliyoanza wiki iliyopita, karibu: Mwigizaji mkongwe wa tasnia ya filamu za kibongo Nuru Nasoro ‘Nora’ Gladness: Unawaambia nini wenzako wenye tabia hizo chafu za kutembea na watu ovyo?
Nora: Mimi nawaasa waachane na tabia hiyo kwani magonjwa ni mengi ukizingatia kuwa wanaume wenyewe wanawatumia tu...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Picha: Amber Rose ashare picha yake ya utupu Instagram (18+)

Wakati mastaa wengine wanahaha baada ya picha zao za utupu kuvujishwa mtandao bila ridhaa zao, stripper wa zamani na mke wa rapper Wiz Khalifa, Amber Rose ameamua kutowasubiri hackers wafanye mambo, kwa kuamua kuvujisha mwenyewe picha yake ya utupu kupitia akaunti yake ya Instagram. Amber ambaye ni mama wa mtoto mmoja alishare picha hiyo na […]

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Khloe Kardashian naye apiga picha ya utupu kwenye cover la kitabu chake ‘Strong Looks Better Naked’ (18+)

Picha za utupu kwaajili ya majarida imekuwa ni kama fashion kwa mastaa wengi wa Marakeni, ambao hawaoni shida kupose utupu mbele ya camera na picha hizo kuja kuonwa na ulimwengu mzima. Style ya picha za bila nguo pia imeendelea kutawala kwenye familia ya The Kardashians. Mdogo wake na Kim Kardashian, Khloe anakuja na kitabu chake […]

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Waziri mwanamke wa Jamaica azua mjadala mtandaoni kwa kupost picha akiwa nusu utupu

Waziri wa Vijana na Utamaduni wa Jamaica , Lisa Hannah amezua mjadala kwa kupost picha akiwa amevaa bikini na top yenye picha ya Bob Marley. Lisa ambaye amewahi kuwa Miss World mwaka 1993, alipost picha hiyo kwenye ukurasa wake wa facebook na kusababisha mjadala juu ya picha hiyo, wengine wakisema sio sahihi kwa kiongozi ambaye […]

 

10 years ago

GPL

RAY ATESWA NA PICHA ZA UTUPU

Chande Abdallah
Supastaa kunako Bongo Muvi, Vincent Kigosi, ‘Ray’ anateswa na tuhuma anazopata kutokana na mtu asiyejulikana kufungua akaunti feki ya Facebook yenye jina la Ray kisha kuposti picha za utupu. Supastaa kunako Bongo Muvi, Vincent Kigosi, ‘Ray’. Akizungumza na paparazi wetu, Ray alisema kuwa japokuwa ametoa ufafanuzi kupitia mtandao wake wa Instagram kuhusu picha hizo na akaunti hiyo feki,...

 

9 years ago

GPL

ZARI KUPIGA PICHA YA UTUPU

Imelda mtema UBAVU wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ amefunguka kuwa atapiga picha moja ya utupu ili kuwakata vilimi wanaopenda kumzungumzia vibaya.Zari ametoa kauli hiyo hivi karibuni kufuatia wafuasi wa Mtandao wa Instagram kumnanga kuwa hakutumia busara kuposti picha zake za nusu utupu akiwa mjamzito.   ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1J7EdxJ ...

 

10 years ago

BBCSwahili

The Sun kutoshapisha picha za utupu

Gazeti la The Sun limesimamisha uchapishaji wa wanawake walio nusu uchi katika ukurasa wa tatu, gazeti la The Times linatuarifu

 

11 years ago

GPL

JOKATE: SIJAPIGA PICHA ZA UTUPU

Stori: Nyemo Chilongani Sexy lady Jokate Mwegelo amekanusha vikali kuhusiana na picha za utupu zilizozagaa mitandaoni hivi karibuni kuwa si zake. Sexy lady Jokate Mwegelo akiwa kwenye pozi tofauti. Akizungumzia ishu hiyo, Jokate ambaye pia ni mwigizaji alisema kuna mitandao imeanzisha uvumi huo kwa kuweka picha ya mtumwingine na kudai ni yeye.… ...

 

11 years ago

GPL

MADENTI, PICHA ZA UTUPU ZA NINI?

Niwape hi kwa furaha sana wapendwa wasomaji wa safu hii, ingawa zaidi ningependa ziwafikie wanafunzi popote pale gazeti hili linaposomwa. Hawa jamaa ni wadau wangu wakubwa sana, hasa katika kubadilishana mawazo inapobidi. Juzi nilikuwa naperuziperuzi kwenye mtandao, mara nikakutana na picha za aibu zilizopigwa na msichana ambaye ametambulishwa kama ni mwanafunzi, haikuelezwa kama ni denti wa sekondari au vyuo, lakini kwa uzoefu,...

 

10 years ago

GPL

BIEBER ATUPIA PICHA YA UTUPU MTANDAONI

Justin Bieber. MWANAMUZIKI raia wa Canada asiyeishiwa vituko, Justin Bieber kwa mara nyingine ametengebeza vichwa vya habari mitandaoni baada ya kutupia picha yake ya utupu katika akaunti yake ya Instagram. Picha ya utupu aliyoiweka Bieber Instagram. Staa huyo ameachia pia hiyo ikionyesha sehemu za makalio yake wakati akijiachia katika Kisiwa cha Bora Bora kilichopo nchini Ufaransa. Ndani ya saa moja baada ya kutupia picha hiyo,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani