Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nuh Mziwanda: Kupigwa Raha, Tumepenga Kufunga Ndoa

Msanii  wa muziki wa kizazi kipya, Nuh Mziwanda, ametoa kali ya mwaka kwa kudai kwamba kitendo cha kupigwa mara kwa mara na mpenzi wake, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, kinampa furaha na ufahamu wa namna anavyopendwa.                          

“Kwanza kupigwa raha, mpenzi wako asipokupiga hakuonei wivu, mimi nafurahi sana na namtaka anipige tu! kila siku akijisikia, ananidhihirishia kuwa ananipenda,” alisema.

Nuh alisema mengi yamesemwa kutokana na kupigwa kwake mara kwa mara, huku akidai kwamba...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

‘Ndoa inafuata’ adai Nuh Mziwanda baada ya kumvisha pete ya uchumba Shilole

Nuh Mziwanda na Shilole ni wachumba halali. Nuh alimvisha Shilole pete ya uchumba weekend hii wakati akisherehekea siku yake ya kuzaliwa. Sherehe hiyo ilihudhuriwa na mastaa kibao. Nuh ameiambia Bongo5 kuwa ndoa ni hatua inayofuata muda si mrefu. “Kila siku naupdate vitu vipya katika maisha yake, nimechora tattoo ya kwanza Shishi baby, nikaja tena kwa […]

 

10 years ago

GPL

SHILOLE, NUH MZIWANDA

IMEGUNDULIKA kuwa uhusiano wa staa wa Mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, na mpenziwe Nuh Mziwanda ni kazi bure kwani uwezekano wa kufunga ndoa kati yao haupo kutokana na kupishana imani.Ishu hiyo imejidhihirisha juzikati nyumbani kwa wawili hao Mwananyamala-Manjunju jijini Dar, baada ya paparazi wetu kuwaibukia na kutaka kujua malengo yao zaidi kama wana mpango wa kuoana au la, msikie kwanza Nuh: Staa wa Mduara,...

 

10 years ago

CloudsFM

Snura amponda Nuh Mziwanda

Staa wa muziki nchini Tanzania Snura aamua kumpa makavu mchumba wa Shilole Nuh Mziwanda na kumuonya asiwe anaingilia bifu za wanawake kwani hazimuhusuSnura alikasilishwa na kauli za Nuh Mziwanda kusema hawezi kumfikia mchumba wake Shilole labda ashindane na kina Pam Dafa kwasababu shilole kafika mbali kimuziki na hampati hata kidogo Snura akamuua kumwambia Nuh asiwe anafatilia mambo ya wanawake hayamuhusu

 

10 years ago

GPL

10 years ago

Michuzi

Nuh Mziwanda apigwa kabali na 93.7 EFM


UKIWA POPOTE DUNIANI SIKILIZA 93.7 EFM BOFYA HAPA

 

10 years ago

CloudsFM

Shilole: Marafiki wananigombanisha na Nuh Mziwanda

MSANII wa muziki na mwigizaji wa filamu za Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, ameamua kuweka wazi chanzo cha migogoro yake na mumewe mtarajiwa, Nuh Mziwanda kuwa ni marafiki.

Shilole alidai kuwa mara nyingi wamekuwa wakigombana, lakini chanzo kikiwa ni maneno ya uchonganishi kutoka kwa marafiki zao wa karibu ambao wana lengo la kuwatenganisha. Mwanadada huyo alidai kutokana na hali hiyo, hivi sasa ameamua kutowahusisha suala lolote linalohusu maisha yake ili kupunguza migogoro ya mara kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani