Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nyota Ligi Kuu England kuivaa Stars

 Kiungo nyota wa klabu ya West Bromwich inayoahiriki Ligi Kuu England, Stephan Sessegnon ataiongoza Benin kuikabili Taifa Stars, Jumapili kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Ligi kuu England kuendelea

Ligi kuu ya soka ya England inatarajia kuendelea tena wikendi hii kwa michezo kadhaaa.

 

10 years ago

Michuzi

11 years ago

Mwananchi

Mabao ya mapema Ligi Kuu England

Bao alilofunga Sergio Aguero wakati Manchester City ilipoikabiri Liverpool ikiwa ni baada ya sekunde 23 tangu aingie dimbani kutoka benchi linachukuliwa kuwa bao la mapema zaidi msimu huu katika Ligi Kuu England.

 

10 years ago

BBCSwahili

Vigogo ligi kuu ya England watesa FA

Vigogo wa ligi kuu ya England wamepata matokeo mazuri katika michezo yao ya kombe la FA.

 

10 years ago

GPL

LIGI KUU ENGLAND MECHI ZA LEO

Chelsea v West Brom - Stamford Bridge - 12:00 Jioni
Everton v West Ham - Goodison Park - 12:00 Jioni  
Leicester v Sunderland - King Power Stadium - 12:00 Jioni
Man City v Swansea - Etihad Stadium - 12:00 Jioni  
Newcastle v QPR - St. James' Park - 12:00 Jioni
Stoke v Burnley - Britannia Stadium - 12:00 Jioni…

 

11 years ago

BBCSwahili

Arsenal yapeta Ligi Kuu England

Timu ya Arsenal yazidi kuongoza ligi kuu ya England ikiwa imeingia mzunguko wa 20

 

10 years ago

BBCSwahili

Chelsea haishikiki Ligi Kuu England

Timu ya Chelsea imeendeleza dhamira yake ya kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya England kwa kuirarua Tottenham 3-0

 

10 years ago

Mwananchi

Vigogo Ligi Kuu England majaribuni

Vigogo karibu vyote kwenye Ligi Kuu England vitakuwa majaribuni leo kwenye viwanja tofauti, vikiwa na malengo tofauti.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani