NYOTA YA JACKSON KISWAGA YANG'ARA KALENGA ,WANA KALENGA WAWAOMBA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU KUTOWACHAGULIA WINGINE ZAIDI YA KISWAGA
Wazee wa kabila la Kihehe, kata ya Kalenga mkoani Iringa wakimpa heshima ya kichifu alipokuwa Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Kanda ya Kusini Jackson Kiswaga ambae leo anapigiwa kura za maoni za kusimamakugombea ubunge kupitia CCM jimbo la Kalenga
Bw Kiswaga akiwashukuru wana kalenga
kwa maombi na imani yao kwake.
Na Francis Godwin, Iringa
Wakati leo wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM jimbo la Kalenga wanakutaka katika ukumbi wa Siasa ni Kilimo mjini Iringa kumteua ...
Michuzi