Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Obiang arejesha mali za E. Guinea

Mtoto wa rais wa Equitorial Guinea amekubali kutoa mali ya mamilioni ya dola zilizoko nchini Marekani.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Obiang kuwania tena urais Equatorial Guinea

Rais wa Equatorial Guinea Teodoro Obiang Nguema, ambaye ameongoza taifa hilo kwa miaka 36, amesema atawania tena urais.

 

10 years ago

BBC

Guinea 1-1 Mali

Lots will decide whether Guinea or Mali reach the Africa Cup of Nations quarter-finals after they drew in Mongomo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mali na Guinea kupigiwa kura

Ivory Coast imekuwa timu pekee kutoka kundi D kusonga mbele katika hatua ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika.

 

10 years ago

BBCSwahili

Guinea yafuzu, Mali yabeba virago.

Baada ya droo kufanywa ,Guinea imefuzu katika robo fainali ya kombe la mataifa ya Afrika huku Mali ikibeba virago.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mali haitafunga mpaka wake na Guinea

Mali yasema haitafunga mpaka wake na Guinea baada ya msichana kutoka Guinea kufariki kwa sababu ya Ebola nchini Mali.

 

10 years ago

BBC

Mali & Guinea want lots rule changed

Managers and players from Mali and Guinea feel the drawing of lots should not be used to decide their Africa Cup of Nations fate.

 

9 years ago

Mtanzania

Mwalimu arejesha fedha za wanafunzi

Na Abdallah Amiri, Igunga

MWALIMU wa Shule ya Sekondari Igunga Day, mkoani Tabora, aliyedaiwa kuwachangisha wanafunzi wa kidato cha tatu zaidi ya Sh milioni 2.8 kwa ajili ya kwenda mbuga za wanyama Ngorongoro kujifunza, ameanza kurejesha fedha hizo.

Hatua hiyo imefikia hapo siku chache baada ya gazeti hili kuripoti juu ya mwalimu huyo, Paulo Msabila kukusanya kiasi hicho cha fedha.

Akizungumza na gazeti hili juzi Mkuu wa Shule hiyo, Nelson Edward alisema Mwalimu Msabila alionekana Desemba...

 

10 years ago

Habarileo

Kinana arejesha CCM ya Mwalimu (2)

Viongozi wa CCM wakiongozwa na Katibu Mkuu wake, Abdulrahmani Kinana wakipalilia moja ya mashamba wilayani Kongwa.KAZI anayofanya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana katika ziara zake mikoani, sasa ni dhahiri ameanza kurejesha chama hicho katika misingi ya asili yake ya Ujamaa, iliyoasisiwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere.

 

10 years ago

Habarileo

Kinana arejesha CCM ya Mwalimu

Viongozi wa CCM wakiongozwa na Katibu Mkuu wake, Abdulrahmani Kinana wakipalilia moja ya mashamba wilayani Kongwa.KAZI anayofanya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana katika ziara zake mikoani, sasa ni dhahiri ameanza kurejesha chama hicho katika misingi ya asili yake ya Ujamaa, iliyoasisiwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani