Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YATOA SEMINA KWA WAHARIRI WA HABARI JUU YA KANZA INAYOONESHA VIASHIRIA VYA KIUCHUMI NA KIJAMII

Na Veronica Kazimoto – MAELEZO
Watanzania wameshauriwa kutumia kanza inayoonesha viashiria vya kiuchumi na kijamii (Tanzania Social Economic Database -TSED) ili kurahisisha upataji wa taarifa pindi wanapokuwa katika kazi zao za kila siku.
Akizungumza na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari katika washa ya siku moja iliyoandaliwa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu leo jijini Dar es salaam, Meneja wa Teknojia ya habari na Masoko Bi. Mwanaidi Mahiza amesema kuwa TSED inasaidia kupata taarifa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

OFAB TANZANIA YATOA SEMINA KWA WAHARIRI WA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI NCHINI

Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Utafiti cha Mikocheni (MARI), Dk. Andrew Ngereza akitoa historia fupi ya kituo hicho wakati akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari katika semina ya siku moja iliyoandaliwa na Jukwaa la Bioteknoloji Tanzania (OFAB)Mkurugenzi wa Sayansi Hai wa COSTECH, Dk.Flora Tibazarwa akitoa mada katika semina hiyo. Mtafiti Kiongozi wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia, (COSTECH), Dk.Nicholas Nyange (kulia), akielekeza jambo wakati wa semina hiyo.
Mtaalamu wa...

 

10 years ago

Michuzi

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YATOA TAARIFA YA PATO LA TAIFA KWA ROBO YA KWANZA YA MWAKA,JANUARY-MACHI 2014

 Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Morice Oyuke (katikati) akitoa ufafanuzi mbalimbali katika mkutano huo. Kushoto ni  Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Idara ya Uchumi, Stephen Kirama na Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Sera na Mipango wa Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika, Oswald Ruboha.
  Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu, Morrice Oyuke (wa tatu kushoto), akiwa  na wadau wa uchumi katika mkutano huo. Kutoka kushoto...

 

9 years ago

Michuzi

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YATOA TAARIFA KUHUSU MFUMUKO WA BEI WA TAIFA WA MWEZI AGOSTI, 2015

 Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Iphrahim Kwesigabo (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo mchana kuhusu mfumuko wa bei wa Taifa kwa mwezi Agosti, 2015. Kulia ni Kaimu Meneja wa Idara ya Takwimu za Ajira na Bei, Ruth Minja. Mkutano na wanahabari ukiendelea.
Na Dotto MwaibaleUWEZO wa shilingi 100 ya Tanzania katika kununua bidhaa na huduma umefikia shilingi 62 na senti 97 mwezi Agosti, 2015 kutoka mwezi Septemba,...

 

10 years ago

GPL

OFISI YA TAKWIMU YA TAIFA YATOA MAJIBU YA SENSA YA 2012

Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Takwimu ya Taifa, Albina Chuwa, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani). Kamishna wa Sensa, Hajjat Amina Said,  akitoa ufafanuzi kwa wadau (hawapo pichani).…

 

9 years ago

Michuzi

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YATANGAZA MATOKEO YA TAKWIMU ZA PATO LA TAIFA KWA ROBO MWAKA YA KWANZA YA MWAKA 2015

Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu Morrice Oyuke (Kulia) akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es Salaam wakati akitangaza matokeo ya takwimu za Pato la Taifa kwa robo mwaka ya kwanza kuanzia mwezi Januari – Machi, 2015 ambayo yameonyesha kuwa thamani ya Pato la imekua na kufikia shilingi trilioni 21.9 ikilinganishwa na shilingi trilioni 18.6 ya robo mwaka ya kwanza ya mwaka 2014. Kushoto kwake ni Meneja wa Takwimu za Pato la Taifa Daniel Masolwa wa...

 

11 years ago

GPL

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YAWASILISHA MPANGO MKAKATI WA TAKWIMU ZA KILIMO KWA WADAU.

Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Morrice Oyuke  akizungumza na wadau mbalimbali  wakati wa kujadili Mpango Mkakati wa Takwimu za Kilimo leo jijini Dar es salaam. Mpango huo utaiwezesha Ofisi ya Taifa ya Takwimu kukusanya takwimu sahihi zinazokidhi viwango vya ndani na vile vya kimataifa.
Mwakilishi wa Shirika la Chakula Duniani (FAO) nchini Tanzania Bi. Diana Tampelman  akizungumza na...

 

11 years ago

Michuzi

OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU YATOA TAARIFA YA MFUMUKO WA BEI NCHINI

Mkurugenzi wa Takwimu za Jamii na Sensa ya Watu na Makazi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Ephraimu Kwesigabo akitoa taarifa ya mfumuko wa bei kwa mwezi Julai 2014 kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam.
Na. Aron Msigwa-MAELEZO.
Ofisi ya Taifa ya Takwimu imeeleza kuwa ongezeko dogo la mfumuko wa bei nchini kutoka asilimia 6.4 za mwezi June hadi asilimia 6.5 za mwezi Julai 2014 linatokana na kupanda kwa bei za baadhi ya bidhaa na huduma katika maeneo mbalimbali.
Akizungumza na...

 

10 years ago

Michuzi

Ofisi ya Taifa ya Takwimu yatoa taarifa za mfumuko wa bei nchini.

  Mkurugenzi wa Takwimu za Jamii na Sensa ya Watu na Makazi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Ephraimu Kwesigabo akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kuhusu mfumuko wa bei nchini. Baadi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mkurugenzi wa Takwimu za Jamii na Sensa ya Watu na Makazi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Ephraimu Kwesigabo leo jijini Dar es salaam alipokuwa akizungumzia suala la mfumuko wa bei nchini.(Picha na Eleuteri Mangi-MAELEZO).

Wananchi wameombwa kutoa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani