Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Oktoba 25: Tuendeleze sifa yetu kubwa tuliyonayo — Amani

Watanzania wote kwa ujumla tuungane na kuhamasisha amani katika kipindi hiki cha uchaguzi ili kuendeleza amani inayotujengea sifa kubwa sana kila kona ya dunia. Bongo5 imechukua fursa hii kukuasa ewe kijana,dada,baba,mama, bibi na babu kutojihusisha na vitendo vyovyote vya uvunjifu wa amani na kukuomba kuungana kwa pamoja ili kuweza kuhubiri amani ilituweze kulinda umoja wetu […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Msajili wa Vyama vya Siasa: Mrisho Mpoto na Christina Shusho kuwa mabalozi wa kubeba ujumbe wetu wa amani wa “AMANI YETU FAHARI YETU”

DSC_3048

Msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi  (katikati) akizungumza na vyombo vya habari mapema leo Oktoba 12 juu ya kuhamasisha Amani pamoja na kuwatangaza rasmi wasanii Mrisho Mpoto (kulia)  na Christine Shusho (kushoto) kuwa mabalozi wa amani wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa  katika kipindi hiki cha Uchaguzi mkuu, huku wakibeba ujumbe wa  “AMANI YETU FAHARI YETU”. (Picha zote na Andrew Chale wa Modewjiblog).

DSC_3062

DSC_3072

DSC_3070

Picha tatu za Jaji Mutungi zikionyesha msisitizo wa suala la Amani...

 

9 years ago

Michuzi

WATANZANIA TUTAMBUE AMANI YETU NI FAHARI YETU.

 Msajili wa Vyama vya  Siasa Jaji Francis Mutungi  akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya   utofauti wa itikadi wa vyama ndiyo ukomavu wa demokrasia nchini hivyo ni jambo la busara kuvumiliana na kufanya siasa za kistaarabu, ameyasema hayo wakati  wa  kikao hicho kimefanyika leo jijini Dar es Salaam kulia ni Balozi wa Amani Mrisho Mpoto na kushoto ni Balozi wa Amani Christina Shusho. Balozi wa Amani Mrisho Mpoto akifafanua jambo katika kikao hicho leo jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Dewji Blog

10 years ago

Zitto Kabwe, MB

9 years ago

Mwananchi

Uchaguzi Mkuu usitupokonye amani yetu

Ninafahamu kuwa historia ya nchi yoyote ni jambo muhimu kwa wananchi wake, kwa sababu historia huwawezesha wananchi kutambua asili yao, kule walikotoka na kuwawezesha kutambua matatizo na mafanikio waliyoyapata na kujua yametokana na nini.

 

9 years ago

Mwananchi

Tanzania yamwagiwa sifa kwa kulinda amani

Ushiriki wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika Misheni ya Kulinda Amani ya Umoja wa Mataifa    Jamhuri ya Kidemokrasi  ya Congo (MONUSCO), imeelezwa kutoa mchango mkubwa kurejesha hali ya amani na utulivu katika baadhi ya maeneo ya  Mashariki ya nchi hiyo.

 

9 years ago

Bongo5

Yamoto Band: Tuna kila sifa za kuwa kundi kubwa la muziki Afrika

Yamoto Band

Msanii wa kundi la Yamoto Band, Aslay Isihaka amesema show zao za mwisho walizofanya nchini Marekani na Uingereza zimewafanya waone wana nafasi kubwa ya kutoboa kimataifa zaidi.

Yamoto Band

Aslay ameiambia Bongo5 Jumatatu hii kuwa kutokana na show nne walizofanya Ulaya zimewafanya waone ukubwa wao kwa mashabiki wa nje.
“Mashabiki wetu wa Ulaya walikuwa hawaamini kama ni sisi ndiyo tunafanya kile wanachokiona kutokana na umri wetu,” alisema.

“Lakini tunashukuru Mungu tulifanya show nzuri hali ambayo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani