'Panya Road' waliotiwa mbaroni wafikia 953
Vijana 953 wanaodaiwa kujihusisha na vitenda vya kihalifu chini ya kundi maarufu la ‘Panya Road’ wamekamatwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam.
Watuhumiwa hao wamekatwa katika mikoa ya kipolisi ya Temeke na Ilala ambapo jeshi la polisi limefanya msako mkali kuweza kuwabaini.
Kamanda wa polisi Ilala, Mary Nzuki, alisema operesheni hiyo imefanyika kwenye maeneo mbalimbali ya mkoa wao ikiwamo kwenye makutano ya wahuni wanaojihusisha na uvutaji bangi, dawa za kulevya na unywaji wa...
Vijimambo