PATA OFA YA VALENTINE'S KUTOKA AK CLASSIC COSMETICS
Baadhi ya bidhaa zilizoandaliwa kwa ajili ya wapendanao.
MABINGWA wa kuuza vipodozi vya ukweli, AK Classic Cosmetics wamewaandalia Valentine's Special wale wote wanaowajali na kuwaenzi wapenzi wao.
OFA: Ukinunua bidhaa zozote zitakazofikia kiasi cha shilingi laki moja, utapata kifurushi cha bure cha zawadi za Valentine's na ofa hii itaendelea mpaka mwishoni mwa mwezi huu.
Pata package maalum kwa ajili ya mpenzi wako kwa bei ya punguzo kabisa.
Bidhaa pendwa za Victorias Secrets, Lotion,...
Vijimambo