Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PDM Movie Kuachia Ahsante Ramadhani ya Mshindo

KAMPUNI ya PDM Movie katika kuukaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhani inaachia filamu kali nay a kusisimua ya AHSANTE RAMADHANI kutoka kwa mwigizaji na mwongozaji mahiri katika tasnia ya filamu Bongo Mshindo aka J- Four.

Mshindo Jumanne muongozaji na mwigizaji wa filamu Bongo anakuja na filamu maalum kwa ajili ya mwezi Mtukufu wa Ramadhani inayoitwa Ahsante Ramadhani kwa ajili ya waumini wa kiislamu kama zawadi kwa wapenzi wa filamu Swahilihood, kwa mara ya kwanza itasambazwa na PDM...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

AHSANTE SANA RAIS MAGUFULI

Na Emmanuel J. Shilatu
Ni gumzo gumzo gumzo kila kona. Si vijiweni, sokoni, maofisini, barabarani, majumbani, ama mitandaoni. Kote ni gumzo kufuatia hotuba aliyoitoa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli wakati akimuapisha Dk. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri mpya wa Katiba na Sheria.
Awali ya yote napenda kuungana na Mamilioni ya Watanzania kumpongeza Rais Magufuli kwa hotuba hiyo murua aliyoitoa iliyoibua gumzo kubwa ndani na nje ya nchi.
Watanzania walijawa na...

 

9 years ago

Mwananchi

JK: Ahsante Dangote kuiweka Mtwara katika ramani ya dunia

Rais Jakaya Kikwete amempongeza mfanyabiashara, Aliko Dangote kuuweka Mkoa wa Mtwara katika ramani ya dunia, kutokana na kuwekeza mradi mkubwa wa kiwanda cha saruji mkoani hapa, ambacho kimegharimu Dola za Marekani 600 milioni.

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha: Ahsante Mungu na Wazazi Wangu Kwakunifanya Mtamu!- Lulu

Mrembo na Staa wa Bongo Movies,  Elizabeth  Michael ‘Lulu’ ambaye hakuna anaebisha kuwa amejaaliwa  uzuri wa sura na umbo, kupitia ukursa wake wa instagram amemshuruku Mungu na wazazi wake kwa mfanya kuwa zaidi ya mcharo, yaani ni mtamuuuu.

“Ahsante kwa Mungu....Shoutout kwa Mama & Baba Lulu + Make up….u'all knw wat I mean....Kitu Mcharo plus…..(Basi kuna watu wata panic......kufwaaaa 4 me)”-Lulu aliandika na kubandika picha hizo hapo juu.

Jionee neema za Muumba hapo juu, mimi nimempa kumi...

 

10 years ago

Mwananchi

Migiro athibitisha; kimya kingi kina mshindo mkuu

Ingawa hakuwa akitajwa mara kwa mara kwamba ni mmoja wa wagombea tishio, kupitishwa kwa jina la Dk Asha-Rose Migiro kuingia katika tano bora ya kuwania urais kwa tiketi ya CCM, siyo jambo la ajabu.

 

5 years ago

Michuzi

DAWA YA CORONA KUMBE ALIKUWA NAYO RAIS MAGUFULI...AHSANTE KWA KUTUPONYA WATANZANIA

Na Said Mwishehe,Michuzi TV

RAIS Dk.John Magufuli naomba nianze kwa kukusalimia mzee wangu.Shikamoo,natumai unaendelea vema na jukumu la  kuwatumikia Watanzania na hasa ya kuleta maendeleo yao.

Baada ya salamu iliyoambatana na unyenyekevu mkubwa kwako naomba sasa nieleze jambo japo kidogo tu.Ndio kuna kitu nataka kueleza na linahusu janga la virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa wa Covid- 19.

Kama mnavyofahamu ugonjwa huo bado umeendelea kuwa tishio duniani kote.Mataifa madogo na makubwa...

 

10 years ago

Mwananchi

URAIS CCM: Migiro athibitisha; kimya kingi kina mshindo mkuu

Ingawa hakuwa akitajwa mara kwa mara kwamba ni mmoja wa wagombea tishio, kupitishwa kwa jina la Dk Asha-Rose Migiro kuingia katika tano bora ya kuwania urais kwa tiketi ya CCM, siyo jambo la ajabu.

 

5 years ago

CCM Blog

DK MSHINDO MSOLLA AZINDUA KAMPENI YA KUELEKEA KWENYE MABADLIKO YA MFUMO WA UENDESHAJI YANGA SC


Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
MWENYEKTI wa Yanga SC, Dk. Mshindo Msolla amezindua Kampeni ya kuelekea kwenye mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji wa Klabu.
“Moja ya ajenda zangu wakati nagombea uongozi ilikuwa ni kuhakikisha tunaingia kwenye mabadiliko ya mfumo mpya wa uendeshaji wa Klabu yetu.
“Leo nina furaha kuzindua kampeni hii ambayo ni hatua muhimu kuelekea kwenye matukio makubwa ya mabadiliko tunayoyatarajia,” amesema.Amesema kampeni hiyo yenye Kaulimbiu ‘Twenzetu kwenye Mabadiliko’...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani