pele akishangilia timu yao 2014, na mambo aliyofanyaga enzi zake
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-IQAPScgFlC8/U4jjGJbuc6I/AAAAAAAFmmQ/QEzKPBAZvxQ/s72-c/unnamed+(57).jpg)
BALOZI PETER KALLAGHE ATOA BARAKA ZAKE KWA TIMU YA TANZANIA KATIKA MASHINDANO.YA AFRICAN NATIONS CUP UK 2014.
10 years ago
Bongo Movies09 Jun
Picha:Norah Ajikumbushia Enzi Zake
Muigizaji mkongwe na maarufu nchini, Nuru nassoro, maarufu kama Norah, hivi karibuni amejikumbushia enzi zake alivyokuwa aking'ara kwenye magazeti na vyombo mbali mbali vya habari miaka ya 2000/2003.
Muigizaji huyo mwenye mvuto wa aina yake, ali post picha yake kwenye ukurusa wake wa instagram (@norahtanzania), ikimuonyesha staa huyo akiwa ameshika magazeti mbali mbali yaliyokuwa yamesheheni picha za mrembo huyo aliyetikisa kwenye filamu ya SIKITIKO LANGU.
“Throw back 2000/2003 utaniambia...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-sKlPjdrY4vY/VHx5W_O4ZFI/AAAAAAAG0nQ/d1pz7uiGcXA/s72-c/unnamed%2B(19).jpg)
UZINDUZI WA USHIRIKIANO KATI YA BODI YA UTALII TANZANIA NA TIMU YA SUNDERLAND YA NCHINI UINGEREZA WAKATI WA MECHI YAO NA TIMU YA CHELSEA
![](http://1.bp.blogspot.com/-sKlPjdrY4vY/VHx5W_O4ZFI/AAAAAAAG0nQ/d1pz7uiGcXA/s1600/unnamed%2B(19).jpg)
10 years ago
Raia Tanzania06 Jul
Chuo cha Mwalimu Nyerere charudi katika enzi zake
RAIS wa kwanza wa Tanzania, Julius Nyerere alijipambanua kwa kuchukia mafisadi na watumishi wavivu. Maisha yake yote alilisimamia hilo na alipopata wasaa alikemea.
Ndio maana katika harakati za kupatikana uhuru wa Tanganyika, alibuni wazo la kuwa na chuo kitakachowafunza viongozi maadili ya umma na namna bora ya kutoa huduma, chuo hicho kilianza na makada wa chama cha Tanganyika National Union (TANU).
Baada ya uhuru viongozi wote walipoteuliwa kushika nyadhifa mbalimbali walipitia...
11 years ago
TheCitizen12 Jun
Brazil 2014: Pele worried about great expectations for forward Neymar
11 years ago
TheCitizen09 Jun
BRAZIL 2014: Why Pele thinks Neyamar’s Barca move was ‘genius’
11 years ago
Mwananchi23 Jun
BRAZIL 2014: Makumbusho ya Pele kivutio Santos, Brazil
9 years ago
Global Publishers17 Dec
Kumbe Aliens wamekuwepo enzi na enzi!
ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:
Mpenzi msomaji wangu wiki iliyopita tuliona ni kwa jinsi gani hawa viumbe wa ajabu waishio angani wa Aliens walivyo na tabia zinazoaminika ni za majini japokuwa wana utofauti kidogo. Tuliona kuwa tofauti kubwa iliyopo kati ya Aliens na majini ni kwamba majini wana maumbile maalum na uwezo wa kujibadilisha japo wote wana uwezo wa kusafiri kwa kasi ya upepo. SASA ENDELEA…
Kama nilivyoeleza awali katika matoleo ya simulizi hii huko nyuma, kuna filamu na tamthiliya...
10 years ago
Mwananchi05 Dec
Mashabiki wa Barcelona wagomea uzi mpya wa timu yao