Picha: I'm Humbled You Know!- Lulu
Kiukweli Elizabeth Michael ‘Lulu’ ni moja kati ya mastaa wa Bongo Movies wenye kupenda mitindo na kupendeza. Mbali na uzuri wake aliojaaliwa, kama wewe umekua ukimfuatili mtandaoni utakubaliana na mimi kuwa hakuna staa wakike hapa Bongo anaeweza kumfikia kwa kutokelezea na mitindo ya mavazi na hadi nywele, kwa mbali namuona Jacqueline Wolper akimfukuzia.
Juzi kati kwenye ukurasa wake mtandaoni aliibuka kivingine na swaga za Le Mutuz kwa kuandika maneno haya mara baada ya kutupia picha...
Bongo Movies
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania