Picha: Uzinduzi wa video mpya ya Ommy Dimpoz ‘Achia Body’
Ommy Dimpoz amezindua video ya wimbo mpya ‘Achia Body’ Jumamosi hii kwenye hoteli ya Akemi jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na mastaa kibao na wadau wengine.
Ommy Dimpoz
Akizungumza na Bongo5, Ommy alisema ukimya wake ulitokana na kuwa busy na show nyingi za nje.
“Huu mwaka ulikuwa na mambo mengi sana lakini nashukuru Mungu hayo mambo yamesababisha nijiandae vizuri zaidi,” alisema. “Nilikuwa na show nyingi za nje. Lakini hii kazi ni nzuri na watu wataifurahia sana. Kwahiyo kuifanyia...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo19 Dec
Kilivyohappen kwenye uzinduzi wa video ya single mpya ya Ommy Dimpoz ‘Achia Body’…..
Hatimaye Ommy Dimpoz usiku wa kuamkia leo Dec 19 ametambulisha rasmi video ya single yake mpya iitwayo Achia Body kwenye ukumbi wa Golden Jubilee Towers Dar es Salaam. Hizi ni baadhi ya picha za uzinduzi huo kama zilizovyonasa na ripota wa millardayo.com Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line […]
The post Kilivyohappen kwenye uzinduzi wa video ya single mpya ya Ommy Dimpoz ‘Achia Body’….. appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo17 Dec
Sentensi za Ommy Dimpoz kuhusu single mpya ‘Achia Body’ pamoja na uzinduzi wa video!!!
Inawezekana ni muda mrefu sana haujamsikia Ommy Dimpoz akizimiliki headlines kwenye ma Radio na TV, sasa time anatarajia kuachia single mpya iitwayo Achia Body iliyotayarishwa na Man Water & Mo Fire. Akiongea na ripota wa millardayo.com alisema..’Baada ya kimya cha muda mrefu kutokana na tours zangu kwahiyo imepita kipindi kirefu sana mashabiki zangu walikuwa wanasubiri […]
The post Sentensi za Ommy Dimpoz kuhusu single mpya ‘Achia Body’ pamoja na uzinduzi wa video!!! appeared first on...
9 years ago
MillardAyo19 Dec
Mabibi na Mabwana Ommy Dimpoz katuletea hii video mpya ‘Achia Body’
Ni time ya kuitazama hii video ya single mpya ya Ommy Dimpoz iitwayo Achia Body. Hii ndio video ya single mpya ya Ommy Dimpoz baada ya kushine na video yake ya Wanjera. Enjoy hapa mtu wangu video yenyewe. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma […]
The post Mabibi na Mabwana Ommy Dimpoz katuletea hii video mpya ‘Achia Body’ appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
Global Publishers16 Dec
Ommy Dimpoz kuitambulisha ‘Achia Body’
MKALI wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz, Ijumaa hii amepanga kufanya utambulisho wa video yake mpya ya Wimbo wa Achia Body .
Utambulisho huo umepewa jina la Dimpoz Lush na utafanyikia Akemi- Golden Jubilee Tower iliyopo Posta jijini Dar.
9 years ago
Bongo515 Dec
Ommy Dimpoz kuja na ‘Achia Body’
![12338655_1724746477754830_1160763091_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12338655_1724746477754830_1160763091_n-300x194.jpg)
Ommy Dimpoz anatarajia kuachia ngoma mpya aliyoipa jina ‘Achia Body.’
Muimbaji huyo ambaye mara ya mwisho aliachia wimbo Wanjera uliozua gumzo kutokana na kumtumia Wema Sepetu kwenye video yake, ametease artwork ya kazi hiyo kwenye Instagram.
Hata hivyo hajatoa ratiba rasmi ya siku utakapotoka na kama ni audio pekee au na video pia.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia...
9 years ago
Bongo520 Dec
Video: Ommy Dimpoz – Achia Body
![OMMY-DIMPOZ](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/OMMY-DIMPOZ-300x194.jpg)
Video mpya ya single ya Ommy Dimpoz wimbo unaitwa “Achia Body”.Baada ya kufanya vizuri na video yake ya Wanjera. angalia hapa hii mpya.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/bgtIb6gmljY/default.jpg)
9 years ago
Africanjam.ComNEW VIDEO: OMMY DIMPOZ - ACHIA BODY (Official Video)
Africanjam is website that was launched in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...
9 years ago
Bongo521 Dec
Music: Ommy Dimpoz – Achia Body
![Screenshot_2015-12-19-20-45-28-1](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Screenshot_2015-12-19-20-45-28-1-300x194.png)
Wimbo mpya wa msanii Ommy Dimpoz baada ya kufanya vizuri na “Wanjera” Hii ndo single yake nyingine inatwa “Achia Body”, Producer Mofire.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!