Pistorius kusalia gerezani zaidi
Kamati itakayoamua ikiwa Oscar Pistorius anapaswa kuachiliwa kutoka gerezani, inatarajiwa kukutana tarehe 18 mwezi ujao
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL23 Mar
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-BXOqGHe_EAI/VEYgTL9ulxI/AAAAAAAGsJM/ShIyMnOI2Qw/s72-c/imrs.jpg)
News alert: Oscar Pistorius ahukumiwa kifungo cha miaka 5 gerezani kwa kumuua bila kukusudia girlfiend wake
![](http://4.bp.blogspot.com/-BXOqGHe_EAI/VEYgTL9ulxI/AAAAAAAGsJM/ShIyMnOI2Qw/s1600/imrs.jpg)
Mwanariadha huyo asiye na miguu aliyeshangaza ulimwengu katika michuano ya Olympic mwaka 2012, amehukumiwa kifungo cha miaka 5 gerezani na Jaji wa Afrika ya Kusini asubuhi hii, katika hatua inayofikisha tamati mlolomngo wa muda mrefu wa kesi hiyo iliyokuwa ikifuatiliwa kwa karibu ulimwenguni kote
Pistorius alipatikana na hatia ya kuua bila kukusudia mnamo Septemba 12, mwaka huu, kwa kumtoa...
11 years ago
BBCSwahili06 May
Mashahidi zaidi kumtetea Oscar Pistorius
Jopo la utetezi katika kesi ya mauaji inayomkabili Oscar Pistorius limeitisha mashahidi zaidi
11 years ago
BBCSwahili27 May
Rodgers kusalia Anfield
Mkufunzi wa Liverpool Brendan Rodgers atia sahihi kandarasi ya muda zaidi Anfield.
10 years ago
BBCSwahili27 Jul
Wenger:Walcot Kusalia Arsenal
Mshambuliaji wa Arsenal, Theo Walcott anakaribia kuongeza mkataba wake na klabu hiyo hadi mwaka wa 2019.
10 years ago
BBCSwahili01 Oct
Wafanyikazi kusalia majumbani Liberia.
Rais wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf amewataka wafanyikazi wa serikali wasio na umuhimu mkubwa kusalia majumbani mwao
11 years ago
BBCSwahili30 Jul
Toure: nataka kusalia Etihad
Kiungo wa Manchester City Yaya Toure anasema kuwa angependa kusalia Etihad milele.
11 years ago
BBCSwahili10 Jul
Mtetezi wa ubaguzi kusalia jela SA
Mahakama imekataa kumwachilia aliyekuwa kiongozi wa kikosi cha kupinga harakati za ukombozi nchini Afrika Kusini, Eugene de Kock
10 years ago
BBCSwahili16 Apr
Wenger:Walcott kusalia Arsenal
Meneja wa kilabu ya Arsenal Arsene Wenger ana imani kwamba Theo Walcot ataweka mkataba mpya na kilabu hiyo ya Ligi ya Uingereza.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania