Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PITA PITA YA VIJIMAMBO NDANI ARUSHA TANZANIA

 Ben Kazora kushoto kutoka Dallas hadi Arusha Tanzania akiwa na mwenyeji wake Christian Sarikie kulia wakipata ukodak wa pamoja Arusha. Ny Ebra akiwa ndani ya Classic Salon Arusha akipata huduma ndana ya salon hiyo hapa Ebra akitoa maelezo ya nini anataka kufanyiwa kutoka kwa kinyozi maarufu ndani ya jiji la Arusha anaejulikana kwa jina la bwana Ngwasuma.Ni huduma ndani ya salon ya Classic Arusha Ebra akipata ukodak akiwa Arusha nyuma yake unaweza kuona mlima Meru unaoupamba jiji la...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

PITA PITA YA VIJIMAMBO NDANI YA SHAMBA LA UNIVERSITY OF THE DISTRICT OF COLUMBIA


Project ya ujenzi wa machine ya kukaushia samaki na matunda iliyobuniwa na Dr Temba imeenza kuwaka kama unavyoona kwenye picha project manager bwana William akiiwasha machine hiyo kwa mara ya kwanza na pembeni yake ni Dr Temba na nyuma William ni Sam fundi umeme.

Dr Temba akiongeza speed ya machine hiyo kwa majaribio kabda ya vifaa vingine kufungwa na company yake ya T.E.S kutoka Brooklyn. NY.

Hapa ni sehem itakayofungwa compute maalum itakayoendesha machine hii.
Wageni wakiaangalia machine...

 

10 years ago

Vijimambo

PITA PITA YA VIJIMAMBO NDANI YA MNN STUDIO NEW YORK CITY


NY EBRA akiwa ndani ya Studio za (MNN) New York City akichukuwa Course ya TV Producer ni moja ya mikakati ya kujiweka sawa kwani Vijimambo team wako mbioni kuanzisha kituo cha TV. Na ilikuweza kufanya kazi kwa ufanisi na ubora Course ni muhimu pale muda unavyoruhusu.
Hapa ni Katibu wa NYCT Deo Mhella akiwa na Ebra ndani ya studio hizo za Manhattan Neighborhood Network, Deo alimtembelea Ebra na kujionea kinachoendelea ndani ya studio.NY akiwa nyuma ya camera ndani ya studio hizo

 

10 years ago

Vijimambo

PITA PITA YA UKODAK WA VIJIMAMBO WIKIEND NDANI YA TROPICAL GRILL LOUNGE JAMAICA. NY


 David Kassian Birthday  Boy pande za Tropical Grill Lounge akiwa na marafiki zake kumpongeza.
 Birthday Boy David sijuhi alikuwa anaimba wimbo gani mbele ya ukodak wa Vijimambo hii yote katika kufurahia siku yake ya kuzaliwa.
Cake ya Birthday Boy ikiwaka mshumaa juu yake kuashiria kuwa birthday cake ikatwe sasa

 Marafiki wakipata ukodak na birthday boy katikati David Kassian, kwa picha zaidi nenda soma zaidi



 

10 years ago

Vijimambo

PITA PITA YA T.E.S NDANI YA VIJIMAMBO RADIO BELTSVILLE.MD


 Dr Temba kutoka New York akiwa ndani ya studio za Vijimambo Radio na timu mzima  Dj Luke na Bandio. Studio ya Vijimambo Radio hipo maeneo ya Beltsville. MD, ukiacha Dr Temba kulikuwa na mgeni mwingine afisa wa ubalozi Washington bwana Taji mwenye tshirt nyeupe katikati wakipata ukodak.Vijimambo radio inapatika online na pia unaweza kusikiliza kwa kuingia Vijimambo blog live kila siku.

 

10 years ago

Vijimambo

PITA PITA YA VIJIMAMBO NDANI YA BONGO

Kushoto ni Kija mtangazaji wa Clouds TV katika kipindi cha 360 kinachorushwa kuanzia saa 2  asubuhi, anaefatia ni Zamzam wa East Africa Radio , na Sufiani Mafoto wa Mafoto blog, wakipata ukodak na Ny Ebra katika  kiota cha Catalunya Mlimani City. Blog ya Mafoto inashirikiana na Vijimamboblog katika nyanja ya kupashana habari na matukio ya kila siku.Hapa Ny Ebra akiwa na mdogo wake  Khadija Mwanamboka Founder and Chairperson at Tanzania Mitindo House alivyokutana na Ny Ebra. Khadija...

 

10 years ago

Vijimambo

PITA PITA YA VIJIMAMBO NDANI YA DMV

Pita pita ya vijimambo ndani ya DMV theruji inavyosumba kwa ma dereva wakiwa kwenye harakati za kujitafutia mkate wa kila simu.Ukiwa bongo magari unasa kwenye matope lakini unyamwezini theruji ndiyo tope lenyewe hapa mtu amesha kaa na nje ni baridi shida juu ya shida unyamwezini raha na karaha zake ndo hizi nyakati za theruji aka winter time.

 

10 years ago

Vijimambo

PITA PITA YA VIJIMAMBO BARABARA YA BAGAMOYO TANZANIA

Bongo tambalale safari na muziki jitiririshe na hii ndani ya bongo


 

10 years ago

Vijimambo

PITA PITA YA VIJIMAMBO DAR-ES-SALAAM TANZANIA



Ny Ebra akiwa na bint yake maeneo ya bahari beach hotel Ny Ebra yupo Tanzania alikoenda kushuhudia graduation ya mtoto wake kipenzi anaeitwa Fauzia na hapa akiwa maeneo ya bahari ya hindi wakipata ukodak na mtoto wake.Hapa Ny Ebra wakipata ukodak na mtoto wake wakiwa kwenyei harusi ya rafiki yake Ny Ebra.Family is first

 

10 years ago

Vijimambo

PITA PITA YA VIJIMAMBO TIMES SQUARE NEW YORK KUELEKEA MWAKA MPYA

 Watu wakiwa tayari wamejipanga kusubiri mkesha wa mwaka mpya 2015 eneo la Times Square New York City, sehemu hii ni maarufu sana kwa New York na Marekani watu kutoka sehemu mbali mbali za dunia ufika New York kushuudia mwaka mpya kwa style mbali mbali  za kukiss adharani na wengine kuvalishana pete za uchumba wakiwa hapa Times Square baada ya kuangushwa mpira mkubwa unaojulina kama balls drop.
 ili ndiyo balls drop lenyewe linalo wavuta watu kutoka sehemu mbalimbali licha ya kuwa na baridi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani