Poison na Nay wa Mitego ndani ya Manzese na Moro Town
Mwanamuziki mdogo kabisaa wa Hip Hop toka mkoani Morogoro Poison, safari hii anakuja na ngoma yake mpya aliyoimba na Nay wa Mitego inayoitwa Manzese na Moro town. Wimbo huo umetaarishwa na maproducer wawili tofauti kutoka kwanza record ya mjini Morogoro Vennt Skillz na MR.T wa Free Nation Records za ya jijini Dar Es Salaam. Akiongea na blog hii mtayarishaji toka Kwanza Records Vennt amesema wameamua kufanya hivyo ili kureta ladha mbili tofauti za maproducer wawili, waimbaji wawili nastudio...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo23 Jul
10 years ago
Bongo523 Aug
Behind The Scenes: Utengenezaji wa video ya Nay Wa Mitego ‘Mr Nay’ nchini Kenya
10 years ago
Bongo530 Aug
Usichokifahamu kuhusu ‘concept’ ya video mpya ya Nay wa Mitego ‘Mr Nay’
9 years ago
Bongo519 Nov
Chagga Barbie ndiye ameziba nafasi ya Shamsa Ford kwa Nay Wa Mitego? Nay azungumza
![Chagga na Nay](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Chagga-na-Nay-300x194.jpg)
Jimbo la mapenzi la Nay Wa Mitego liko wazi toka aachane na aliyekuwa cousin mpenzi wake Shamsa Ford, lakini swali ni kwamba ni mrembo gani aliyerithi nafasi hiyo iliyoachwa wazi na Shamsa ambayo huenda kuna warembo wengi wanaitamani?
Kama unamfatilia Nay Wa Mitego kwenye akunti yake ya Instagram sina shaka utakuwa umeanza kuona dalili za kuwa kuna mpenzi mpya ‘mteule’ anayesubiri ‘kuapishwa’ na kuwa rasmi.
Chagga Barbie sio jina geni, ndio yule aliyezitawala headlines nyingi alipokuwa...
10 years ago
GPL29 Aug
10 years ago
Bongo529 Aug
New video: Nay Wa Mitego — Mr Nay
10 years ago
Bongo519 Aug
Video: Tazama teaser ya video mpya ya Nay wa Mitego ‘ Mr Nay’ iliyofanyika Kenya
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/U7YWT3FNhpwbYZd5uoZUIx8pqQuV5Ywf95VXfU7XI199bjMhWTp3nJoFBDimO-*OnrIbxUHM*ADH7V*ywJE2cuF08kCM2i1h/nay.jpg?width=650)
NAY WA MITEGO LAIVU
10 years ago
Vijimambo10 Nov