Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PPF YAFUTURISHA WAFANYAKAZI WAKE‏

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio, akipakua chakula wakati wa futari iliyoandaliwa na ofisi yake katika hoteli ya serena jana. Baadhi ya wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakichukua chakula wakati wa futari iliyoandaliwa na Mfuko huo wa Pensheni wa PPF jana.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

PPF YAFUTURISHA WAFANYAKAZI WAKE

 Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio, akitoa hotuba kwa wafanyakazi wa Mfuko huo baada ya futari iliyoandaliwa na Ofisi yake kwa wafanyakazi wake kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam  Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio(Wapili kushoto) na baadhi ya wajumbe wa bodi ya wadhamini ya Mfuko huo, wakishiriki futari iliyoandaliwa na ofisi yake kwa wafanyakazi wa PPF kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam Baadhi ya wafanyakazi wa Mfuko wa...

 

10 years ago

Michuzi

PPF YAFUTURISHA WADAU WAKE JIJINI DAR ES SALAAM

 Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio akimuongoza Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum na wadau wa mfuko huo kupakua futari iliyoandaliwa na PPF Kanda ya Temeke kwa wadau wake, Dar es Salaam Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio akizungumza na wadau wa mfuko huo baada ya kupata futari iliyoandaliwa na PPF Kanda ya Temeke, Dar es Salaam juzi. Wengine kutoka kulia kwake) ni Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum, Mwakilishi wa...

 

10 years ago

GPL

BENKI YA NBC YAFUTURISHA WATEJA WAKE MJINI ZANZIBAR‏

Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kibenki zinazofuata misingi na kanuni za Kiislamu cha Benki ya NBC, Yassir Masoud (kushoto), Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi cha benki hiyo, Mussa Jallow na Ofisa Fedha Mkuu wa NBC, Jaffari Matundu (kushoto) wakishiriki kuchukua mlo wa futari pamoja na baadhi ya wateja wa benki hiyo mjini Zanzibar katika hafla ya futari iliyoandaliwa na NBC kwa wateja wake mjini humo juzi. Mkuu wa Kitengo cha...

 

10 years ago

Michuzi

PPF YAFUTIRISHA WAFANYAKAZI WAKE KUONYESHA MSHIKAMANO

MKURUGENZI Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio, (wapili kushoto0, akichukua futari wakati alipowaandalia futari wafanyakazi wake kwenye hoteli ya city garden jijini Dar es Salaam. PPF imekuwa na utaratibu kama huo wa kuwaandalia futari wadau wa Mfuko huo hali kadhalika wafanyakazi wake, kila mwaka ili kuonyesha mshikamano wa pamoja Baadhi ya Wafanyakazi wa PPF wakishirikia kwenye Futari ya pamoja.Mmoja wa wafanyakazi akityoa shukrani kwa niaba ya wwenzake baada ya futari hiyo...

 

10 years ago

Michuzi

PPF YAWAPA TUZO WAFANYAKAZI WAKE BORA WA MWAKA 2014

Mkurugenzi wa Fedha wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Martin Mmari, (kushoto), akimkabidhi cheti Mfanyakazi bora wa Mfuko huo kutoka kanda ya Ziwa, Bernard Kyaduma, wakati wa hafla ya kuwapatia tuzo wafanyakazi bora wa Mfuko huo mwaka 2014.Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Julius Kam Mganga, (wapili kushoto), akitunuku cheti Mfanyakazi bora wa jumla wa Mfuko huo kwa mwaka 2014, Angelina Napacho kutoka kurugenzi ya Operesheni ya Mfuko huo, wakati wa hafla ya kuwatunuku wafanyakazi...

 

11 years ago

GPL

MKURUGENZI MKUU WA MFUKO WA PENSHENI WA PPF, MH WILLIAM ERIO ATEMBELEA BANDA LA PPF KUJIONEA UTENDAJI KAZI WA PPF KATIKA MAONYESHO YA SABASABA‏


Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa Pensheni wa PPF, Mh William Erio akiteta jambo na wafanyakazi wa PPF wakati alipotembelea Banda la PPF kujionea utendaji kazi wa Wafanyakazi wake. Kulia ni Meneja Uhusiano na Masoko wa PPF, Bi Lulu Mengele na Katikati ni Mbaruku.
Mmoja wa Wateja Wa Mfuko wa Pensheni wa PPF akifurahia huduma aliyopewa na Afisa Huduma Kwa Wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Jackline Jackson wakati mteja...

 

11 years ago

GPL

AZANIA BANK LTD YAFUTURISHA WATEJA WAKE NA YATIMA KITUO CHA MITINDO HOUSE FOUNDATION‏

 Mkurugenzi Mtendaji wa Azania Bank Limited,Bwa.Charles Singili akizungumza mbele ya wageni waalikwa mbalimbali waliofika kupata futari ya pamoja iliyoandaliwa na Benki ya Azania,mwishoni mwa wiki kwenye moja ya ukumbi  uliopo ndani ya jengo la Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).…

 

10 years ago

Dewji Blog

PPF yaandalia futari wafanyakazi wake, ni utaratibu wa kila mwaka kuonyesha mshikamano

MKURUGENZI Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio, (wapili kushoto), akichukua futari wakati alipowaandalia futari wafanyakazi wake kwenye hoteli ya City Garden jijini Dar es Salaam. PPF imekuwa na utaratibu kama huo wa kuwaandalia futari wadau wa Mfuko huo hali kadhalika wafanyakazi wake, kila mwaka ili kuonyesha mshikamano wa pamoja Mmoja wa wafanyakazi akityoa shukrani kwa niaba ya wwenzake baada ya futari hiyo. Erio, akizungumza mwishoni mwa hafla hiyo.

 

11 years ago

Michuzi

PPF ILIVYOADHIMISHA SIKU YA WAFANYAKAZI LEO,RAIS KIKWETE AKAMKABIDHI ZAWADI MFANYAKAZI BORA WA PPF

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 5, Herman Kachima, ambaye ni Msimamizi wa huduma kwa wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakati wa maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo. Mkurugenzi wa NSSF, Dkt. Mohammed Dau (Wapili kulia), akiteta jambo na mkurugenzi mkuu wa PPF, William Erio, na mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya udhibiti wa mifuko ya hifadhi ya jamii, (SSRA), Irine Isaka (Kushoto), na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani