Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Raia wachoma kituo cha polisi, ofisi ya kijiji

POLISI mkoani Morogoro wanashikilia watu 11, wakazi wa Kijiji cha Mpofu wilayani Kilombero kwa tuhuma za kuvamia na kuchoma moto kituo kidogo cha polisi na ofisi ya serikali ya kijiji hicho.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

GPL

WANANCHI BUNJU WACHOMA KITUO CHA POLISI

Kituo cha Polisi Bunju B kikiteketea baada ya kuchomwa na wananchi wenye hasira kali. Moshi mkubwa kutoka eneo hilo la kituo. Baadhi ya wakazi wa Bunju leo wamevamia na kukichoma moto Kituo cha Polisi Bunju A baada ya polisi kufyatua mabomu ya machozi na risasi za moto kuwatawanya wananchi waliofunga barabara baada ya mwanafunzi wa darasa la nne Shule ya Msingi ya Bunju A kugongwa gari na kufariki leo asubuhi. Polisi… ...

 

10 years ago

Mwananchi

Mwanafunzi agongwa, wakazi wachoma moto kituo cha polisi

Dar es Salaam. Wakazi wa Bunju ‘A’, wamechoma kituo cha polisi cha eneo hilo kwa kile kilichodaiwa kushindwa kuelewana na askari baada ya mwanafunzi wa darasa la nne kugongwa na gari na kufariki dunia.

 

10 years ago

Mwananchi

Wananchi wavamia kituo cha polisi, wachoma moto magari manne, wafunga barabara kwa saa 5

>Polisi wa wa kituo cha Ilula kilicho Kilolo mkoani Iringa wanatuhumiwa kuua mtu mmoja, jambo lililoamsha vurugu kubwa zilizosababisha magari mawili kuchomwa moto.

 

10 years ago

Vijimambo

ASKARI WANNE NA RAIA WATATU NDIO WALIOPOTEZA MAISHA KWENYE UVAMIZI WA KITUO KIDOGO CHA POLISI STAKISHARI UKONGA.

Mkuu wa Jeshi la Poilisi nchini, Ernest Mangu akiongea na wanahabari mapema leo.
Askari wanne na raia watatu wamefariki Dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kituo kidogo cha Polisi cha Stakishari, Ukonga jijini Dar kuvamiwa na watu wanaosadikika majambazi.
Majambazi hao waliokadiriwa kua wanane walivamia kituo hicho mida ya saa 4 usku Jumapili July 12, 2015 usiku wa kuamkia leo.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Enerst Mangu amesema lengo la majambazi hayo ilikua ni kuiba silaha zilizokuwepo...

 

9 years ago

Michuzi

GEPF WASHEREHEKEA MWAKA MPYA KWA KUTOA MSAADA WA KITUO CHA WATOTO YATIMA KIJIJI CHA FURAHA KILICHOPO MBWENI JIJINI DAR

Mkuu wa kitengo cha masoko kutoka GEPF Bw Aloyce Ntukamazina akimkabidhi mlezi wa kituo hicho Sr Restituta Kijja sehemu ya msaada huo. Meneja Mafao wa Mfuko wa GEPF Bi Salma Mtaulah nae akimkabidhi Mlezi wa kituo mafuta ya kupikia.maafisa wa GEPF pamoja na mlezi wa kituo wakifurahia jambo na watoto wa kijiji cha Furaha kilichopo Mbweni.baadhi ya watoto wa kituo hicho wakiwa katika picha ya pamoja kwa furaha baada ya kukabidhiwa msaada wa vyakula na Mfuko wa GEPF.

 

10 years ago

BBCSwahili

Raia wachoma magari ya hospitali ,India

Makundi ya raia wenye hasira kutoka vijiji vya Mashariki mwa wamevamia hospitali ya serikali na kuchoma moto magari.

 

9 years ago

Michuzi

Askari wa kituo cha polisi Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara wafanya usafi kwenye mazingira yanayozunguka kituo chao.

 Askari polisi wa Kituo cha Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wakiongozwa na Mkuu wa kituo hicho, Mrakibu msaidizi (ASP) Thomas Mniko, (kulia) kusafisha mazingira yanayozunguka eneo lao.
Askari polisi wa Kituo cha Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wakiongozwa na Mkuu wa kituo hicho, Mrakibu msaidizi (ASP) Thomas Mniko, (kulia) kusafisha mazingira yanayozunguka eneo lao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani