RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA UBUNGO WAKATI ALIPOREJEA JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mama mwenye Ulemavu wa miguu Nyangoma James mara baada ya kumchangia kiasi cha Shilingi Milioni 5 kwa ajili ya ununuzi wa Bajaji. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akicheza Wimbo wa hamasa pamoja na Wananchi wa Ubungo mara baada ya kuwahutubia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka katika eneo la Ubungo Darajani mara...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM BlogRAIS MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA UBUNGO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Nyangoma James Mama mwenye Ulemavu wa miguu msaada wa Shilingi Milioni 5 kwa ajili ya kununulia Bajaji ili imsaidie kuendesha Maisha yake. Pia Rais Dkt. Magufuli aliendesha Mchango kwa Wananchi wengine ambapo waliahidi...
9 years ago
CCM Blog03 Dec
9 years ago
MichuziRAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS MSTAAFU DKT. JAKAYA KIKWETE, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Ikulu jijini Dar es Salaam.
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAKURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU Simu: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: press@ikulu.go.tzTovuti :...
5 years ago
MichuziRAIS DKT MAGUFULI NA MKEWE MAMA JANETH MAGUFULI WASHIRIKI IBADA YA JUMATANO YA MAJIVU KANISA LA MTAKATIFU PETRO JIJINI DAR ES SALAAM
Makubi wakati wa Ibada ya Jumatano ya...
9 years ago
MichuziRAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA WAGENI MBALIMBALI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
9 years ago
MichuziRAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI LEO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Mhongo katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri, leo katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii na Jinsia, wazee na watoto, Ummy Mwalimu katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri , leo katika ukumbi wa Ikulu...
9 years ago
MichuziRAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA MABALOZI WA MALAWI NA SWEDEN IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
5 years ago
MichuziRAIS DKT.MAGUFULI ASHUHUDIA YANGA IKIICHAPA 1-0 SIMBA SC UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Vijana, Sanaa na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Balozi Ali Karume pamoja na Viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu wakiwapungia mkono wa salamu kwa Wapenzi nan a Mashabiki waliojitokeza katika Mchezo wa Ligi kuu wa Watani wa jadi kati ya Yanga na Simba Uliochezwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Machi 08, 2020. Mchezo uliomalizika kwa Ushindi wa goli moja kwa Yanga...
5 years ago
MichuziRAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA MADAKTARI KITAIFA MWAKA 2020 JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakati wa maadhimisho ya siku ya Madaktari Kitaifa Mwaka 2020 katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataiafa cha Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam leo Alhamisi Februari 20, 2020 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Tuzo Maalumu.....katika kutambua mchango wake mkubwa katika tasnia ya afya wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Madaktari Kitaifa mwaka 2020 katika Kituo cha...